Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

Kama una kadi ya chama, peleka pale TRA wanakuondolea tozo. Tumekopa 2.7t kwaajili ya barabara na elimu, hivyo kuna msamaha wa tozo kwa wenye kadi ambapo kimsingi mkopo utafidia.[emoji4]
Kwa hyo CCM haiwahusu hi Kodi mkuu

NAWATAFUNA kokote ulipo nasikia Kodi haiwahusu watu wa lumumba hongereni

Mama anaupiga mwingi sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wamesema mwenye nyumba apeleke Luku hizo ziingizwe kwenye luku moja. Hakafu wapangaji hamtakiwi kulipa hii ni ya mwenye nyumba. Akigoma nendeni TRA(ila mnaweza kufukuzwa kwenye hio nyumba ha ha ha ha)

Halafu anakuja asubuhi toka kwa nyumba dah na ndo umejiandaa kwenda job
Mkuu usinitishe mie [emoji3]
 
Mita zote zitalipiwa separately
So.kama.una mita 10 utalipa 120,000 kwa jengo moja?
Vipi wanaoishi nyumba zaserekali nao wanalipia kodi ya pango. Kama ndio mbona awali hawakua wanalipa?... je wale wenye visima vya maji vya jumuiya wamefunga luku nao watalipia kodi ya jengo?
 
Kuna jengo Lina Vyumba vya maduka zaidi ya 10 na kila chumba kina mita yake.
Hapa watakata kila luku mpaka ulalamike na.bado wataleta zengwe.
Vipi nyumba za serekali nazo wanalipa kodi ya pango?
Vipi vusima vya maji waliofunga luku watalipa kodi ya pango pia?
 
So.kama.una mita 10 utalipa 120,000 kwa jengo moja?
Vipi wanaoishi nyumba zaserekali nao wanalipia kodi ya pango. Kama ndio mbona awali hawakua wanalipa?... je wale wenye visima vya maji vya jumuiya wamefunga luku nao watalipia kodi ya jengo?
Hata mimi najiuliza maswali kama hayo
 
Ukinunua Umeme utalipia Kodi nne:
1. VAT - 18%
2. Ewura - 3%
3. REA - 1%
4. Kodi ya Jengo (Tsh 1000- Tsh 5000)

Awamu ya sita, tozo ziendelee!
Hivi kwa nini Ewura wanakata asilimia 3 wakati wao wanayo makato mengi mengi? Umeme, maji, mafuta sijui na yapi mengine.
 
Back
Top Bottom