Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

NATAFUTA DEEP FRYER INAYOTUMIA GESI KWA ANAYEFAHAMU ZINAKOPATIKANA ANIJUZE

NINAHITAJI KWAAJILI YA KUCHOMEA CHIPS

ANAYEJUA PLIAZE TUPEANE CONTACT


0767 37 08 02
0789 37 08 02
 
SAMAHANI NDUGU ZANGU. NAULIZIA UTARATIBU WA BIASHARA YA ALIZETI KULETA DAR. NAOMBA KUELIMISHWA.
 
BEI YA MASHINE YA ALIZET NASIKIA KWENYE MIL 15 COMPLETE. ANAEJUA ZAIDI ATUSAIDIE UTARATIBU NA MBINU ZAKE.
 
NDUGU ZANGU MWENYE MAWASILIANO NA EMMA LUKOSI ANIJULISHE NINA SHIDA NAYE KUBWWA.
 
Mbona hakuna msaada kwa link hiyo?
 
Invisible ni nani ?? Nami naitaji ndugu
 
Hapa Mshangano Songea ni mji unaokuwa kwa kasi na kuna wakuma wa alizeti wengi tu.Lakini hakuna kiwanda cha alizeti.Watu wanahangaika kuvusha ng'ambo kwa Gasa.Karibuni kuwekeza.Nipo tayari kukusaidia na kuwa mwenyeji wako.
 
habari wadau watu wowote wanaohitaji elimu ya matumizi ya pesa wanashida ya kuandikiwa report na business plan namna yakusajili makampuni nawakaribisha kwa bei nafuu sana tuwasiliane 0718979093 email protas112@gmail.com
 
Hii Sssrc mbona mmeingilia thread ya jamaa hao? Sijawaelewa atiii
 
Siyo BP tu tuelekezane hadi mradi kukamilika. Makaratasi na maandishi ni sehemu ndogo ya mradi mara nyingi yanaishia kwenye stuli baada kufika kwenye cliff. Tunahitaji madaraja ambayo nyie ndiyo mnatakiwa kwenye mho mchongo mzima
 
Habari za leo mkuu, nimekupata jamiii Forum, tafadhali naomba unitumie hiyo copy ya "Businnes Plan Pro"

Natanguliza shukrani zangu za awali,
E-mail: faustine6476@gmail.com
 

Tuwasiliane kwa namba hii 0658 977 330 au 0772 977 330. Ndani ya wiki moja baada ya kupata data za biashara yako, business plan itakuwa tayari na ya kiwango cha juu ambacho utaweza kupeleka kwenye benki yoyote ile kama unahitaji mkopo.
 
Wataalamu wa business plan nawatafuta (kampuni)
Nimeshaiandika nataka tu wataalamu wa kuihakiki na kuifanyia marekebisho kidogo msaaada kwa wenye kujua wanijulishe

Tuwasiliane kwa namba hii 0658 977 330 au 0772 977 330
 

mkuu hii software naipateje?nimejaribu kuidownload manual nashindwa
 

mkuu VoiceOfReason umepotelea wapi mkuu?
 

Karibu kwa huduma ya WRITEUP za miradi kama huo wenu; mnaweza kujiandalia wenyewe kwa kucheki templates, ila mimi nitawaandikia kwa uhalisia zaidi na mtapata wasaa wa kuuliza maswali nami nitawaelekeza vema kwa bei nafuu. Karibu 0692138944
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…