Mchanganuo wa gharama nilizotumia na michepuko mwezi huu

Hiyo 7,000 ni siku nzima.
Na ni watu wawili.
Ndo maana kaandika 7,000 mara siku 3.
Sasa piga mahesabu mmenda vacatio na baby msosi mnakula 7,000 kuanzia asubuhi mpala jioni.

Bora nibaki kwetu nisugue sufuria zing'ae
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
[emoji2][emoji2][emoji2]sasa mtu wa musoma ulitaka ampeleke wapi ibiza kumuona rihana au criss brown hapo hapo kwa choki ndio hadhi yake. .usikute baada ya kwenda kumuona choki aliomba hadi kupiga nae picha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Musoma kuna watoto wakali sana na wanajua kutupia na kutumia mno.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Musoma kuna watoto wakali sana na wanajua kutupia na kutumia mno.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒwachache mkuu... mimi nimewahi kukutana nao. .. wanaojua kutumia wachache mnoo
 
Reactions: amu
Ndugu yangu hiyo hela inaelekea inamuuma sana mpaka kaja kuanzishia thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu mbona hakuna matumizi ya kutisha??
Kwenye vocha, msosi nauli hata mie nimewazidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siku nyingine jitahidi na ujifunze kutumia hela

Mnapenda tuu wanaume tuendelee kuzika hela zetu kwenye papuchi zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: amu
Nipo serious kama ulikuwa upo naye nyegezi huyu dem ni malaya sana. Maana mi pia nlikuwa mwanza aliniita nije kumfuata nyegezi, na nikampa lift hadi musoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…