hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
😃😃😃😃Hiyo 7,000 ni siku nzima.
Na ni watu wawili.
Ndo maana kaandika 7,000 mara siku 3.
Sasa piga mahesabu mmenda vacatio na baby msosi mnakula 7,000 kuanzia asubuhi mpala jioni.
Bora nibaki kwetu nisugue sufuria zing'ae