Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

Mchanganuo wa kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule

Hii ndio ramani? Umeambiwa ramani bhana acha kujifanya huelewi...
Unakuwa mkali hivyo leo tarehe 7/10/2016, thread ya May 27, 2014 na watu tumeshajenga kwa kuelimishwa na wakufunzi huru humu jukwaani.
 
Kama kiwanja ni tambarare lazima utayarishe hela ya tofali 3000 au zaidi ,sio chini ya hapo.
 
Wana JF, natumai mko vizuri.

Naomba mwenye uzoefu na ujenzi anisaidie. Nitahitaji matofali mangapi ya sementi (BLOCK) ili kujenga nyumba hii hadi boma kuisha. Naomba kuwasilisha, KARIBU.
Toa ufafanuz zaidi, nyumba hiyo ni mfumo wa banda au vinginevyo, km sio banda orodhesha maeneo mengine muhim ya nyumba km vile vyoo vingapi, jiko, store, maktaba, varander, hapo ndipo ukadiriaji unaweza kuwa sahihi vinginevyo taarifa utakayo pewa itakuwa sio sahihi
 
Ingekuwa busara zaidi umtumie QS ili upate tathmini halisi ya mahitaji yako. Usitegemee kupata ful package bure tu. Otherwise uwe unaleta material kidogokidogo
 
Wengi wetu tumekuwa tunakwepa saana matumizi wa wataalam wetu wa ujenzi pamoja na sekta nyingine, halafu tunakimbilia kuuliza humu. Hii tabia ni sawa na kudownload application bila serial number au key, kwa hiyo ita run kama demo tu
 
Mtu anaweza akachorewa ramani mtaani, au akanunua ramani kwa wale wanaouza kwenye makutano ya barabara. Pengine ni ramani isiyokidhi mahitaji au uwezo wako, maana wakati mwingine hata ramani 2 za vyumba vi3 vinatofautina bei Kwa sababu ya mpangilio wa vyumba.
 
Hakika

sample house.
1. image kama inavyoonekana
2. PDF ni ramani ya hiyo image
3. Excel file ni estimate cost ya hiyo ramani

NB; assume project ipo dsm au maeneo ya jirani yanayozunguka dsm. also assume plot ni flat or ina gentle slope.

NOTE; nimeweka Excel kwa makusudi kwamba unaweza ku'edit kulingana na bei halisi za building materials na labour charge kulingana na eneo unalokusudia kujenga.
kwa mimi hizo ndo bei zangu za labour charge and supervision.
zumbemkuu unaweza kutuma hii image pande nyingine za nyumba
 
hapana nina kauzoefu kidogo kwenye hayo mambo...

kiongozi hiyo nyumba inasimama kwa tofari hizo, vyumba 3, kimoja wapo kikiwa self, jiko, sebule kubwa kukidhi pia meza ya chakula na choo, ninavyo vibanda kama hivyo vitano hapa mjini
Jaman twende taratibu tuelimishane:
mimi npo iringa nyumba ya vyumba 3,stoo,sebule na jiko MSINGI UMESHAJENGWA na ramani ni 12 * 13 mita
1.je naweza nahitaji tofari ngap za block kumalizia nyumba
2. cement mifuko mingap na
3.mchanga trip ngap za tipa tani 3?
asanten
 
Umeulizwa na nani humu Jf mpaka utuambie unavibanda vitano acha kierehere wewe...!!
ameamua kuonyesha tu uzoefu wake ktk masuala ya ujenzi kwan amefanya vibaya?,au wewe imekuuma
 
Msaada wana jf
Mwenye ramani ya Nyumba yenye 1master b/room,2 rooms,toilets ,dinning room,sitting room,kitchen,packing &two verandor .iwe na vipimo
 
hapana nina kauzoefu kidogo kwenye hayo mambo...

kiongozi hiyo nyumba inasimama kwa tofari hizo, vyumba 3, kimoja wapo kikiwa self, jiko, sebule kubwa kukidhi pia meza ya chakula na choo, ninavyo vibanda kama hivyo vitano hapa mjini
sasa binamu nami nisaidie kujua gharama za ujengaji wa nyumba vyumba 3 sebule, master, choo, jiko, yaani kiwanja kina mita 15x18
 
Una ramani? Okay, fanya hivi.
Standard wise, square metre moja ya ukuta hujengwa kwa tofari 9 zikisimama, au 12 zikilazwa. (450*230*150mm block)
Chukua length*height of your wall, for all the walls of your house to get the total square metres of the walls. Then deduct the total square metres of openings. ie windows and doors.
Then multiply the remaining square metres of walls by the number of blocks per square metre, to get the total number of blocks for your house.
If that doesnt help, mtafute Qs.
Mimi ni qs akitaka kusaidiwa alete drawings cwez kumsaidia kwa kubuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom