esther mashiker
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 616
- 552
MCHANGANUO WA MICHANGO ILIYOKUSANYWA NA CHADEMA ILI KUWALIPIA FAINI VIONGOZI WAO.
1. Rais Magufuli 38,000,000/=
2. Watanzania 30,000,000/=
3. Ndugu wa Mch. Msigwa 2,000,000/=
4. Hamphrei Polepole 30,000,000/=
5. Mkopo (Precision Air Tanzania) 250,000,000/=
Jumla ya Michango yote ni 350,000,000/=
Ndugu Watanzania kama mnavyofahamu kwamba Chadema ilikusanya Tsh. 30,000,000/= kutoka kwa wananchi ambayo isingetosha kuwatoa Viongozi wao,
Na baada ya kuona michango haitoshi walimtuma Godbless Lema kwenda kukopa kwa Mo Dewji kiasi cha Tsh. 250,000,000/= lakini kwa bahati mbaya Mo Dewji hakuwapa ushirikiano ndipo walipoamua kumtuma Bonifas Jacob (Meya wa Ubungo) Kwenda kwenye Kampuni ya Precision Air Tanzania na baada ya mdajdala mkali Pecision Air Tanzania walitoa mashariti ya kuwakopesha Tsh 250,000,000/= kwa riba ya asilimia 20 (20%) na mkopo huu utalipwa kutoka kwenye pesa za Wabunge watakazolipwa kama Kiinua mgongo mara tu bunge litakapovunjwa 30/06/2020.
Ndugu Watanzania, niwaombe Chadema wasiendelee kumchafua Mo Dewji na kumsimanga kwamba walimsaidia kipindi amerejea, eti kwa sababu hakutoa mchango na hakuwakopesha kiasi hicho cha Tsh. 250,000,000/=
Pia Watanzania Wenzangu niwaombe Chadema kwa umoja wao wamshukuru Rais Magufuli kwa upendo mkubwa alioonyesha kwa nduguye Mch. Piter Msingwa.
La Mwisho niwaombe Chadema waache siasa za kitoto, maigizo na ngonjera badaala yake wajenge hoja na sio kutegemea Huruma ya Watanzania,
C&P
Ninalaani vikali kitendo cha Chadema kuwahadaa watanzania kwamba wamekusanya kiasi cha milioni 334,000,000/= bila kusema wamekopa pesa kwenye makampuni.
Pia niwaombe Chadema waweke hadharani majina na namba za simu za waliochangia ili kuondoa sintofahamu hii na uongo uliokithiri kwani kuwadanganya ni jambo hatari,
Mwisho nisisitize kwamba michango iliyochangwa na Watanzania ni Tsh. 30,000,000/= tu na sio hizo 334,000,000/= kama wavyodai
=====
UPDATES: