Mchanganuo wa michango iliyokusanywa na CHADEMA ili kuwalipia faini viongozi wao

Status
Not open for further replies.
Mbona umeandika kikahaba sana?
 
Tunasubiri tarifa kamili ya chama,wewe ni nani mpamae wa lumumba! hata kama wamekopa si watalipa kwani hao wabunge si wanachama?
 
Hizi pumba zingine bana !!!

Kuna wakati Hua naunga mkono mtazamo wa Jiwe, Bashiru na Pole Pole katika mikakati ya kukijenga Chama upya, kwa staili ya kuchukua vichwa makini kutoka upinzani na kuvipa uongozi

Maana nyinyi wengine mlioko huko akili zenu wengine zimeishia kwenye kujua jinsi gani ya kutumia applesider kwenye sambusa yako ili ikaze iwe mmnato ili na wewe ununuliwe toyota ist au furn cargo

Rubbish!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya kalale sasa,unajua ukiwa na roho mbaya hata usingizi hupati,na usipopata usingizi maaana yake wewe ni mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Unakumbuka ule msemo wa zamani wa orijino komedi "UMEFULIAAAAAAA????"
Basi jisemee kimoyomoyo,"MBOGAMBOGA TUMEFULIA"

Hii uwongo yako uliyoleta hapa kadanganye form4 failure wenzako, bora hiyo bao iliyokuzaa dingi yako angelipiga nyeto bafuni
 
Chadema wanaweza kuwadanganya wanachama wao tu lakini si watz waliojitambua!
 
Wajinga wajinga kama ninyi ndio mnakitukanisha chama chetu cha Mapinduzi.

Very bogus propaganda!
Wewe jibu hoja mwenzako ametoa data na wewe leta data zako ili tuchambue pumba na mchele!
 
MP UUZI mkubwa kabisa wewe unapaka CCM matope. Hicho kisimu chako wataki tress ikifunguliwa kesi hata dhamana huna limbukeni. Mashinji walimlipia maana tuna deal naye la kikubwa
Wewe una deal gani mpayukaji tu? Wakati mwingine tuwe na hoja za msingi si kukurupuka kama umefumaniwa.
 
Kumbe polepole naye alitoa? Akili yako matope,unataka waweke namba za simu waliochangia ili waumizwe?ingeleta maana kama usingeweka pumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm not a medical doctor but this x-ray tells it all, it will time for the fractured bones to heal. Very sorry for the injured.
 
CHADEMA njooni huku kanusheni hizi habari kama ni kweli au propaganda na wivu za CCM. Precision Air ongeeni pia maana mwatajwa kufanya biashara.
Yaani na wewe utopolo hujaona hiyo post no. 5 hapo juu? Precision Air walishakanusha hiyo kitu! Propaganda za mataga zimetaga!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…