Mchanganuo wa michango iliyokusanywa na CHADEMA ili kuwalipia faini viongozi wao

Status
Not open for further replies.
aya mbili za nwisho zimethibitisha udhaifu wa vyanzo vya taarifa vya nwandishi.

ilitakiwa mwandishi mwenyewe aoneshe majina na michanganuo iwekwe hapa hapa kujiridhisha.

pia machangizo ya umma ikihusisha chenji za 200 na 500 na 1,000 na 5,000 hadi 10,000 huwezi kupata 30,000,000 flat bila chenji chenji. tutumie akili kung'amua.

kuitaja kampuni yenye biashara kubwa ya kusafirisha abiria wasio na mrengo mmoja ni kuihujumu na kuiweka kwenye wakati mgumu. yaweza kukimbiwa na wateja wenye itikadi fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma mnahangaika kutetea ,kulinda na kuupamba utawala kandamizi. Hakuna marefu yasiyo na Ncha.
 
Yajayo yanafurahisha, Je ! uko tayari?

Chadema, kazi nikwako.
 
Hii kwel kabisa jamaa walikopa kabla ya kwenda uko kote walienda Victoria oil com ngoma ikadunda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa na wewe ulishawi kuona wapi Bibi kikongwe akamgalagaza kijana wa chini ya umri wa miaka 35 ??
 
Usishangae kesho tukasikia precision air ilikuwa hajasajiriwa hapa nchini
 
CHADEMA njooni huku kanusheni hizi habari kama ni kweli au propaganda na wivu za CCM. Precision Air ongeeni pia maana mwatajwa kufanya biashara.
Pitia tena uzi huu! hii itakuwa imekupa-alert
 
CHADEMA njooni huku kanusheni hizi habari kama ni kweli au propaganda na wivu za CCM. Precision Air ongeeni pia maana mwatajwa kufanya biashara.
Hiyo Kampuni yenyewe inapumulia mashine, watoe wapi 250m ? hata 10m hawawezi
 
Huu mwandiko ni mtu aliyetoka kutoa mimba...Pole sana ....
 
Soon utakamatwa jiandae kulipa mamilioni ya pesa kwa sababu ya ujinga wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ccm mpya nyie Cheki mnavyojidhalilisha na kukizalilisha chama chetu ccm
 
Huyu angekuwa na akili ndogo hata kama ya sisimizi tu angejua wakati huu wa mtukufu hakuna shirika la ndege au lolote linaweza kujiingiza kwenye mchezo huu iwe kwa faida au bila faida. Mtu pekee ambaye angeweza kumshirikisha na kufanikiwa huu upumbav ni yule aliyekwenda kumsubili Mch. Msigwa nje ya mahakama na motokaa za sirikali na makamera.
 
Watanzania 30,000,000

Ndugu wa Mch. Msigwa 2,000,000

Sasa leta tofauti kati ya watanzania vs Ndg wa mch. Msigwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…