Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Nikweli kabisa mkuu !Ila bado kwa hatua za awali za nyumba yaani kunyanyua ukuta na kuezeka inakwenda faster mpaka raha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli kabisa mkuu !Ila bado kwa hatua za awali za nyumba yaani kunyanyua ukuta na kuezeka inakwenda faster mpaka raha
Mkuu achana na ujenzi wa tofari za kuchoma ama mawe kwa ajili ya ujenzi wa msingi.Mimi kwa upande wangu sifahamu,
Kingine ambacho sijui ni matofali yapi ni imara kati ya matofali ya kuchoma na matofali ya cement kama una ufahamu nisaidie mkuu.
Kwani cement imetokea wapi?Mungu alimuumba mwanadamu kwa udongo sio cement. So amini usiamini tofali laudongo linaubora sana
Binafsi siwezi kujengea blocks hizi ambazo wanatoa pcs 40 au 35 kwa mfuko,,naamini sana kwenye burnt bricks kwa uimara na kunipa options nyingi za materials za kujengea ,udongo au saruji na pia inanipa options nyingi ya finishing na decorations ya ukuta hasa kwa njeUsilinganishe tofali ya kuchoma na mbolea ya n'gombe ile ni chuma matofali ya cement ni bure kabisa ndio maana nyumba nyingi za mkoloni iwe muingereza au mjerumani zimejengwa na tofali ya kuchoma yan nyumba yoyote iliyojengwa na mkolon kama sio ya tofali ya kuchoma basi imejengwa kwa ukuta wa mawe sio iyo mbolea
Hii kesi ndio nimesikia leo sikuwahi kujua kama huko kwenu nyumba za tofari za kuchoma na kujengwa kwa udongo wa mfinyanzi eti zinathamani ndogo kuliko za blocks.Huku mikoani hasa nyanda za juu kusini hakuna kitu kama hiki maana nyumba zote zaidi ya asilimia 95% ni za tofari za kuchoma na zimejengwa kwa kutumia mota ya udongo na zinauzika na ni imara sana.Kabisa mkuu ,,siunajua nyumba ukishaifanyia decoration inavyokua.
Jamaa mmoja ,alitumia milion 70 kujenga nyumba ya tofali akaipamba,, akaenda CRDB akachukua milion zaidi ya 200 ,walivyokuja kuthaminisha wakakubali .
Muhuni mpaka waleo hajulikan alipo ,CRDB wameshajribu kuuza nyumba inashindakana maana baaaaaaaadae ndo wakajua ni ya tofali zakuchoma
Pole sana mkuu labda huko kwenu ndio ghali kutumia mawe+bricks+udogo against blocks..Kiufupi Matofali ya kuchoma yana bei nafuu na yanakupa options nyingi za kujenga na finishing.Kwa mfano unaweza ukajenga kwa mota ya chini ya ya nchi 1 na nyumba ikapendeza sana wakati kwa blocks ni lazima uweke mota kubwa ya nchi 1 au cm 2.5 ili ishike vizuri,sasa hiyo mota nyingi ni ipi?Mkuu achana na ujenzi wa tofari za kuchoma ama mawe kwa ajili ya ujenzi wa msingi.
Usipoangalia kwa makini bila kupiga hesabu, waweza fikiri kuwa matofari ya kuchoma ni nafuu kwa ujenzi wa nyumba ya makazi kwa kuwa ni udongo usio na saruji, kumbe sivyo.
Maelezo ni marefu kidogo, ila kifupi ukitaka kujenga, andaa tofari zenye ratial kali kwa ajili ya msingi na ratial ya kawaida kwa ajili ya boma.
Matofari ya kuchoma na mawe ni hasara kwa kuwa yanatumia saruji nyingi kwenye ujenzi.
Ahsante. Nitangulie kusema: huu ujenzi unategenea pia na eneo jinsi upatikanaji wa vifaa vya ujenzi ulivyo.Pole sana mkuu labda huko kwenu ndio ghali kutumia mawe+bricks+udogo against blocks..Kiufupi Matofali ya kuchoma yana bei nafuu na yanakupa options nyingi za kujenga na finishing.Kwa mfano unaweza ukajenga kwa mota ya chini ya ya nchi 1 na nyumba ikapendeza sana wakati kwa blocks ni lazima uweke mota kubwa ya nchi 1 au cm 2.5 ili ishike vizuri,sasa hiyo mota nyingi ni ipi?
Kuhusu mawe ni kweli ukitumia saruji itaenda nyingi lakini kwa mawe tunatumia udongo wa mfinyanzi pia maana logic ya saruji au udongo ni upate binder tu na si vinginevyo kwa hiyo hapo ni uchaguzi wako mwenyewe
Mmenifanya nishawishike kujenga kwa tofali za kuchoma mbeleni.Ila bado kwa hatua za awali za nyumba yaani kunyanyua ukuta na kuezeka inakwenda faster mpaka raha
Huku nyanda za juu kusini bei ya tofari za kuchoma ni kati ya sh.80-120 kutegemeana na ukubwa sijui hizo bei za huko kwenu.Ahsante. Nitangulie kusema: huu ujenzi unategenea pia na eneo jinsi upatikanaji wa vifaa vya ujenzi ulivyo.
Pia umesahau kwamba eneo linalojengwa na tofari1 la block ni sawa na tofari3 ama 4 za kuchoma.
Bei ya tofari la kuchoma ni sh.250 na block ni sh. 1000.
Mota ya kuzungusha tofari 4 za kuchoma hata ungeibana vipi haiwezi lingana na ile unayotumia kujenga tofari1 la block.
Any way, kama nilivyotangulia kusema kwamba kila eneo na gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuta reply yako maana uzi wa siku nyingi, ila kabla ya kuanza soma comment #49 ya Sakasaka Mao na yangu #31 alafu ufanye uamuzi hasa kwenye manunuzi ya tofari za kuchoma zilizopigwa kwa kibao kimoja na zote kwa pamoja zinakuwa standard maana changamoto ya tofari ya kuchoma unakuta zina shape ambayo haipo sawa ambapo ukifika stage ya kupiga lipu unajikuta cement inatumika nyingi ili kuweka level ya ukuta vizuri (unakuta tofari moja limechomoza kidogo au limeingia ndani kidogo n.k)Mmenifanya nishawishike kujenga kwa tofali za kuchoma mbeleni.
Chama utakachopigia kura kinajulikana kabisa 😛Cement ni imara zaidi ...ila zakuchoma pia niimara zaidi.
Kwa uzuri ni nzur.ila kwa uimara za kuchoma ni bora ZaidUimara wa matofali ya kuchoma hutegemeana na aina ya udongo uliotumika ktk uundaji wake(nature ya udongo) kwa maoni yangu naona block za cement ni nzuri zaidi
mkuu nimejaribu kugawanya hapo size ya tofali la kuchoma na block, block moja linachukua nafasi ya tofali nne za burnt brick.Huku nyanda za juu kusini bei ya tofari za kuchoma ni kati ya sh.80-120 kutegemeana na ukubwa sijui hizo bei za huko kwenu.
Kuhusu ukubwa wa mota narudia tena kwenye tofari za kuchoma mota unapanga mwenyewe ukubwa wake na ili zipendeze tunatumia mota chini ya inchi 1 ambayo ni ya udongo wa mfinyanzi au simenti lakini kwenye blocks huwezi jengea mota nyembamba,labda ile kwamba vitofari ni vidogo vidogo ndio vinaleta kula mota sana na pia kama umejengea tofari za ukubwa tofauti tofauti itakula mota nyingi wakati wa plasta.
Kingine sio kweli kwamba ukubwa wa block moja ni sawa na tofari 3 au 4,hii inategemeana na uchaguzi wako wa tofari maana wengi wanapendelea vitofari vidogo vidogo kwa ajili ya kupendezesha nyumba lakini sizes normal ni 0.25x0.12x0.12 sasa kwa ukubwa huu haziwezi ingia 3 kwenye block ya nchi sita yaani 0.45x0.23x0.15 ambapo wengi wanatumia nchi 5.Binafsi siwezi jengea blocks maana huwa sipendi plasta nje ila napenda kufanya pointing au kusugua nk nk ili nyumba iwe na muonekano wa kuvutia
Tofali za kuchoma zipo ndogo (za zamani) na kubwa ( za sasa ). Ndogo kwa sasa hazitumiki sana.
mkuu nimejaribu kugawanya hapo size ya tofali la kuchoma na block, block moja linachukua nafasi ya tofali nne za burnt brick.
Unaposema za sasa hivi ni kubwa, zina size gani?Tofali za kuchoma zipo ndogo (za zamani) na kubwa ( za sasa ). Ndogo kwa sasa hazitumiki sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matafali ya kuchoa yako kila mahali, te akwa bei nafuu tu. Ila kama mtu ana muda wa kutosha anaweza kuandaa yeye mweyewe ila ahakikishe kuna moto wa kutosha ili tofali zipate kuiva vizuri. Mimi nilijenga kwa tafoli hizo japo ni mkoani, Musoma.Kiwanda cha mbezi tiles sijui kama kipo, ukikosa wawezasafirisha toka au tanga morogoro yaliyotayari.Au tafuta udongo wa kichuguu utafute MTU akufyatulie,udongo unatoa tenda Kwa wa Magari.