Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

Karibuni akina kaka na akina dada.
Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake.

Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali.
Sio kwa matumizi ya familia tu..hata for commercial purpose.

karibuni!
kwenye like kundi la wadada wenye sura nzito nimekutoa, kumbe unakunywa vitu vizuri aggyjay
 
Tiba Mkuu hii. Ni hatari sana. Hahaha
 
Naomba kwa anayefahamu jinsi ya kutengeneza juice ya strawberry anielekeze, ni kwaajili ya biashara.
 
Naomba kujua kama naweza tengeneza Juice ya Papai, parachichi na pension
 
Kuna swala la kwamba mchanganyiko huo unaleta Radha nzuri mdomoni , na kwamba Je huo mchanganyiko unashauriwa kiafya?

Is it recommended nutritious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…