Mchanganyiko katika maisha haya ya ndoa

Isiwe sababu yakupangana nyumba za watu
Haka kadada ni kachoyo

Kanataka kammiliki Mume wake kama mtu anavyomiliki shamba

Hapendi ndugu wa Mume

Kana tabia ya kumpanda mtu kichwani, sio kichwa Cha chini bali Cha juu.

Swali langu nakauliza kameolewa?
Kama Bado hii fantasy yake kichwani aiondoe mapema bila hivyo itakuja kumtesa
 
Haka so mie nikakitu sio mtu mxiuu .

Mtu akiowa ameoa acheni usumbufu mnajazana kama siafu humo ndani na harusi imeshaisha ?
 
Haka so mie nikakitu sio mtu mxiuu .

Mtu akiowa ameoa acheni usumbufu mnajazana kama siafu humo ndani na harusi imeshaisha ?
Sasa wanaojazana ni ndugu wa Mume ila tundugu twako tukija unachekelea tumeno twote 32.

Wewe umeolewa?
Ukiolewa ujue umepelekwa kwenye Koo na jamii nyingine na lazima ufuate taratibu na tamaduni zao.

Ila kwa roho hii ndio maana ulikuwa unalalamika njemba zikihadisiana issue zako na wewe hauuuzi
 
Haka so mie nikakitu sio mtu mxiuu .

Mtu akiowa ameoa acheni usumbufu mnajazana kama siafu humo ndani na harusi imeshaisha ?
Hivi ni ndugu wa mume tu ambao huwa wanakuja kwa wanandoa? Mimi hata waje ndugu wa mke au wangu sioni tatizo kwanza watu utakuta wanapita tu kwa nini iwe tabu? Labda sababu tumezoea kuishi wengi vijijini.
 
Hivi ni ndugu wa mume tu ambao huwa wanakuja kwa wanandoa? Mimi hata waje ndugu wa mke au wangu sioni tatizo kwanza watu utakuta wanapita tu kwa nini iwe tabu? Labda sababu tumezoea kuishi wengi vijijini.
Sio kila siku kila ijumaa kaja mtu Tena wa upande wamume ni ngumu upande wamwanamke kuja according to me .

Sio kila familia utajikuta na dhiki ,
Pale unapoenda kuoa ni vitu tu baadhi hawana ila asilimia kubwa kila mtu anajiweza
 
Sawa ila wangu wanaakili hawawezi kuja kabisa kwangu hata wakitaka kutoona wanasubiria tupo mjini watutoe out umeelewa .

Sura kama kimbola
 
Wengi elimu ya ndoa, mume ni nani na mke ni nani na wanapaswa kuishi katika furaha na hudhuni, namna ya kuishi na ndugu wa aina zote, majirani, etc ni changamoto mimi kuoa hapana sitaki kabisa acha niendelee na episodes maana mbususu zipo kwa ajili, "Nafsi yasema enyi warembo wazuri wenye mbususu mnato na chuchuz njoo kwangu kwa maana ufunguo wenu wa raha na furaha ninao mimi na upo ghetto" Mungu awabariki sana, Ameen!!
 
Kama ulimpenda na ukafikia hatua ya kukubali kuishi nae uwe na uvumilivu, acha vinyongo na ndugu, unyumba ni jukumu kutoa kwa mumeo, mjali kwa kumpikia chakula kizuri huto sikia mume analewa wala kukupiga. Wanawake acheni tabia za kutaka 50/50 hiki ndo chanzo cha kuvunja ndoa.
 
Haya maisha ya ndoa mtu asikudanganye, jinsi ambavyo anavumilia kwake, haiwezi kufanana na kwako. Halafu kama umeona ndoa inakuwa chungu si uondoke. Acha kuvumilia ujinga.
 
Ni kweli ila kuoa ni muhimu .
Kuzaa nje ya ndoa ni dhambi mtumishi .
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Looh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ