Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
Ha ha ha naona mnataka karanga zipande bei!Eti wadau nimeikuta mahali ivi ni kweli ukichanganya pepsi na karanga zilizokaangwa inaongeza nguvu za kiume?
Ungia na mrungi!Eti wadau nimeikuta mahali ivi ni kweli ukichanganya pepsi na karanga zilizokaangwa inaongeza nguvu za kiume?
HaziongeziEti wadau nimeikuta mahali ivi ni kweli ukichanganya pepsi na karanga zilizokaangwa inaongeza nguvu za kiume?
Duh....unataka kufanyaje mkuu. Unahisi huna nguvu?Eti wadau nimeikuta mahali ivi ni kweli ukichanganya pepsi na karanga zilizokaangwa inaongeza nguvu za kiume?
Hahaha..Hatimaye Wamemaliza mitihani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye Wamemaliza mitihani
Remba ndio nini ?Remba ndyo mwisho wa yote Sasa hv mm napeta tu mwaka wa 5 huu ni kupeleka moto haswa