Mchanganyiko wa Pepsi na karanga

Mchanganyiko wa Pepsi na karanga

Wewe ni ke au ni me? Kama ni me Pepsi ni TSH 500 nunua na karanga za TSH 500 ujaribu. Kama una ugonjwa nenda katibiwe haraka urijali ni heshima ya mwanaume
 
Nguvu za kiume imekua exaggerated mno mwisho wa siku ambaye hana tatizo anajipa tatizo kwa kuwazia ama kufikiri kwa wasiwasi, usiamini stori za watu kule kimasihara watakuponza ukahisi uko tofauti ama una matatizo
 
Back
Top Bottom