PostGE2025 Mchange: Vyombo vya ulinzi viichunguze CHADEMA kuhusika kwao Vurugu za Oktoba 29, hakuna aliyenyimwa mwili

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange, amesema kuwa chama cha CHADEMA kinapaswa kuchunguzwa na vyombo vya ulinzi kuhusu tuhuma za kuhusika kwenye vurugu za Oktoba 29. Kuhusu madai ya watu kunyimwa miili ya ndugu zao waliofariki katika matukio hayo, amesema hakuna mtu aliyenyimwa mwili. Aidha, akizungumzia madai ya kaburi la halaiki katika maeneo ya Kondo, amesema hakuna ushahidi wa jambo hilo kwa kuwa alifika mwenyewe katika eneo hilo.

Ikumbukwe mnamo March 14, 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Kigamboni, ilimhoji mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange, kufuatia tuhuma za kutaka kutoa rushwa kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho wa Kata ya Tungi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chanzo cha habari, Mchange alikuwa miongoni mwa wanaotaka kutia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
 
Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange, amesema kuwa chama cha CHADEMA kinapaswa kuchunguzwa na vyombo vya ulinzi kuhusu tuhuma za kuhusika kwenye vurugu za Oktoba 29. Kuhusu madai ya watu kunyimwa miili ya ndu
Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange, amesema kuwa chama cha CHADEMA kinapaswa kuchunguzwa na vyombo vya ulinzi kuhusu tuhuma za kuhusika kwenye vurugu za Oktoba 29. Kuhusu madai ya watu kunyimwa miili ya ndugu zao waliofariki katika matukio hayo, amesema hakuna mtu aliyenyimwa mwili. Aidha, akizungumzia madai ya kaburi la halaiki katika maeneo ya Kondo, amesema hakuna ushahidi wa jambo hilo kwa kuwa alifika mwenyewe katika eneo hilo.
Duuu inauma sana kuzaliwa nchi moja na waupuzi kama hawa yaani mbele ya pesa lolote wanafanya hata kufirwa wanafirwa wewe wape pesa tu
 
Huyu dogo katengenezwa na cdm leo anaichafua kisa pesa, mtoto wa kigoma chawa
 
Ikumbukwe mnamo March 14, 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Kigamboni, ilimhoji mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange, kufuatia tuhuma za kutaka kutoa rushwa kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho wa Kata ya Tungi.
Huyu jamaa ni takataka
 
Saizi wamekuja na ajenda CHADEMA. Ifutwe
IMG-20251212-WA0127.jpg
 
Veggies akili ziko tumboni wanawaza ulaji mpaka wanasahau ubinadamu..!!
 
Tatizo la huyu dogo marinda yalienda kwao namfahamu tangu anasoma benjamini sec
 
Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange, amesema kuwa chama cha CHADEMA kinapaswa kuchunguzwa na vyombo vya ulinzi kuhusu tuhuma za kuhusika kwenye vurugu za Oktoba 29. Kuhusu madai ya watu kunyimwa miili ya ndugu zao waliofariki katika matukio hayo, amesema hakuna mtu aliyenyimwa mwili. Aidha, akizungumzia madai ya kaburi la halaiki katika maeneo ya Kondo, amesema hakuna ushahidi wa jambo hilo kwa kuwa alifika mwenyewe katika eneo hilo.

Ikumbukwe mnamo March 14, 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Kigamboni, ilimhoji mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange, kufuatia tuhuma za kutaka kutoa rushwa kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho wa Kata ya Tungi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chanzo cha habari, Mchange alikuwa miongoni mwa wanaotaka kutia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Sitegemei chadema kumjibu mjinga kama huyu. Hana hiyo hadhi ya kujibiwa na CHADEMA.
 
1.Wahamiaji kutoka nchi jirani.

2.Walifuata mkumbo.

3. Walilipwa kuandamana.

4. CHADEMA

5......

Hakika ujinga ni kama kimo , iwe ufupi au urefu bado utaonekana maana haujifichi.
 
Vurugu zilianzia CCM kupendekeza jina moja, badala ya matatu kama ilivyo ada, kwanini mgombea alikataa kutoka awaachie wajumbe wafanye yao, ile ndio ilituletea maafa ya oktoba 29.
 
Huyu dogo katengenezwa na cdm leo anaichafua kisa pesa, mtoto wa kigoma chawa
Hatari sana , kuna watu kila wakilala lazima waote chadema, mwenyekiti yupo ndani , sasa unaangaika na chama ambacho
1 . Hakushiriki uchaguzi
2. Mwenyeki wa chama yupo ndani
3 . Makamu mwenyekiti alikamatwa Dar na badae kupatikana mtumba Dodoma
Ndugu zangu tuipende nchi kwanza,viongozi huja na kuondoka , wapi Mwalimu, Mwinyi Mkapa, Pombe ,jk yupo ila nae mda ukifika atakufa tu.

Tupendane watz ,kama humpendi Mbatizaji basi mpende jirani yako .

Hii tabia ya kutekana , kuuwana , sio mila ya nchi hii wakuu
 
Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange, amesema kuwa chama cha CHADEMA kinapaswa kuchunguzwa na vyombo vya ulinzi kuhusu tuhuma za kuhusika kwenye vurugu za Oktoba 29. Kuhusu madai ya watu kunyimwa miili ya ndugu zao waliofariki katika matukio hayo, amesema hakuna mtu aliyenyimwa mwili. Aidha, akizungumzia madai ya kaburi la halaiki katika maeneo ya Kondo, amesema hakuna ushahidi wa jambo hilo kwa kuwa alifika mwenyewe katika eneo hilo.

Ikumbukwe mnamo March 14, 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Kigamboni, ilimhoji mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange, kufuatia tuhuma za kutaka kutoa rushwa kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho wa Kata ya Tungi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chanzo cha habari, Mchange alikuwa miongoni mwa wanaotaka kutia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mchange ni mbwa wa Samia!
 
Back
Top Bottom