[emoji23] [emoji23] [emoji23] ee fanya fanya basiHahaha! Una akili nyingi mnooo...
Fanya hizo Namba niweze kufanikisha kuhusu huo muhamalaRekebisha sasa
Asante na kwako piaOkay. Siku njema mwaya.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante na kwako pia
[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] hahahaha angalia usijepewa wewe hivyo vitasaMi napenda nikutane na Magu. Si mmesema anaingiaga humu, au mnatania..?? Napenda nikutane nae nimpe vitasa vya uso. Anazingua.
Ndo ile mambo ya kutuma nauli kisha na namba yako inakuwa mwisho wa kupatikana hewani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] ee fanya fanya basi
[emoji23] [emoji23] sasa niendelee kupatikana hewani ili nigundue nini kwa mfanoNdo ile mambo ya kutuma nauli kisha na namba yako inakuwa mwisho wa kupatikana hewani...
T 1990 ELY natamani nikutane na wewe japo ni ngumu lkn si vibaya ukinitumia kapichaEbu nitaje nikutumie picha yangu kapeace [emoji85]
Aaahhh umerudiHahaha
Watu mnadhambi nyie matikitiki ya morogoro ukiwa mnyonge hulibebi wala kulinyanyua.
Hahahahahah ukilala likakufunika masikin tunakupotezaa,,Hahaha
Watu mnadhambi nyie matikitiki ya morogoro ukiwa mnyonge hulibebi wala kulinyanyua.
Kama sikio la temboHahahahahah ukilala likakufunika masikin tunakupotezaa,,
Niaje wewe....!Aaahhh umerudi
Hahaha! Si ndo hapo? Hapo ndo ile mambo ya ku bet. Wewe huyo Khantwe kweli utumiwe nauli na uweze kuja niliko?[emoji23] [emoji23] sasa niendelee kupatikana hewani ili nigundue nini kwa mfano