Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Huu mchezo mnaotaka kuucheza nao ni kamari! Maana unaweza ukawa na matarajio makubwa kwa unayetaka kukutana nae...siku ikifika utadhani macho yako yanakudanganya.
 
Mi nataka kuonana na Siasa mbaya anipeleke kwa yule mwanamke mwenye matiti makubwa kama matikiti ya Morogoro halaf nitamuambia mengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc Daby
Hahaha

Watu mnadhambi nyie matikitiki ya morogoro ukiwa mnyonge hulibebi wala kulinyanyua.
 
Back
Top Bottom