Panda basi uje kanda ya ziwanikapeace natamani kuonana na wewe mkuu
Niwekeee basi huo uzi nikachekee mieHahaha
Ila kuna mmoja mwaka juzi alinivunja mbavu anaitwa mama mtarajiwa... Alisema amekutana na mwanaume wa JF lipua lake linafunika uso na mwili hautoshi kwenye camera ya simu...
Haha nyie wanawake wa JF mnapenda kutuonea nyie..
Shukrani sana mkuu. Panapo majaaliwa tutaonana.Beef lusagna
Wa kusoma
Emmyta
Naona umejitoa muhangaMi napenda nikutane na Magu. Si mmesema anaingiaga humu, au mnatania..?? Napenda nikutane nae nimpe vitasa vya uso. Anazingua.
Mbona sioni 3HI8KN22 Imethibitishwa?Hahaha. Sijipendi eeh? Naanzaje kugoma?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama ukiwa kwa mbaali unaghairi tu maana kuna watu wasiojulikana kabisaHuu mchezo mnaotaka kuucheza nao ni kamari! Maana unaweza ukawa na matarajio makubwa kwa unayetaka kukutana nae...siku ikifika utadhani macho yako yanakudanganya.
Mbona haifanyiki siku hizi? Coordinators ni members au admin ya JF? Au kuna mambo hayakwenda vizuri ikabidi kustopisha?Ni kweli mkuu
Hebu panga uje tuonane mke mwenza na tupange mipango mikakati ya kumfilisi yule jamaa.Mkemwenza mimi nnataka nionane na wewe
[emoji106]Nataka nikutane na AVATAR zote za JF
Kanda ya ziwa mkoa upi mkuu?Panda basi uje kanda ya ziwani
Ilikuwa ni kweli.Miaka kadhaa nyuma wakati nikipita humu kama visitor sijawa niliwahi kusikia members wa JF hua wanakutana kwa parties na kufamiana, ni kweli hii kitu kwa mwenye kujua au ilikua chai tu?
Coordinator walikuwa members tu wa kawaida. Siku hizi naona utoto umekuwa mwingiMbona haifanyiki siku hizi? Coordinators ni members au admin ya JF? Au kuna mambo hayakwenda vizuri ikabidi kustopisha?
Kabisa ajute kuchanganya akili kubwa mbiliHebu panga uje tuonane mke mwenza na tupange mipango mikakati ya kumfilisi yule jamaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna anaetaka kuonana na watu wasiojulikana?
Kwenye kona inayounganisha Rwanda Uganda na tanzaniaKanda ya ziwa mkoa upi mkuu?
Ilikuwa ni kweli.