Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Hahaha
Ila kuna mmoja mwaka juzi alinivunja mbavu anaitwa mama mtarajiwa... Alisema amekutana na mwanaume wa JF lipua lake linafunika uso na mwili hautoshi kwenye camera ya simu...


Haha nyie wanawake wa JF mnapenda kutuonea nyie..
Niwekeee basi huo uzi nikachekee mie
 
Huu mchezo mnaotaka kuucheza nao ni kamari! Maana unaweza ukawa na matarajio makubwa kwa unayetaka kukutana nae...siku ikifika utadhani macho yako yanakudanganya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama ukiwa kwa mbaali unaghairi tu maana kuna watu wasiojulikana kabisa
 
Back
Top Bottom