Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Kila jambo na wakati wake, kwa wakati ule ilifaa sana sio sasa kwakweli.

Labda iandaliwe toto party.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
asilimia 99 humu ni majini ya baharini, kila mmoja abaki huko huko aliko tusionane, tukutane tu humuhumu. kuchati na jini sio tatizo, tatizo ni kukutana nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…