chodotio richie
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 214
- 86
Sipati picha atakavyokulalamikia kua anasingiziwa kua jf ndio yakeNataka nikutane na deo kisandu.
Roja dat!
Nimefuatilia thread yote nione kama umenitaja.... Haki mi nimwemwachia Mungu tu.Kuna member wa hiyo id kumbe
Work true true.Nimefuatilia thread yote nione kama umenitaja.... Haki mi nimwemwachia Mungu tu.
Even you my friend you dont like to meet me?Work true true.
It's better to do as you decided
Sasa dogo mida hii wenzio si wanasoma? Ukifeli utamlaumu Magu bure tu ujue...Sema maduu wengi wa humu watu wazimua >25 hukoo, ngekua wapo wale 19,20-23 daah...
Oh ahsante Mungu....Kaizer ni shemeji yangu nimemfahamu baada ya wewe kunioa hubby. Wakati minacheza tombolela na Rrondo ni ule wakati wa kamasi kutoka. No harm was ever done hubby.