Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Vipi tena mzee baba?Heaven saint
Malcolm
Aspirin
The boss
Numbisa
Neybright
Le Lyon
Transcend
Stable woman
Lara 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi tena mzee baba?Heaven saint
Malcolm
Aspirin
The boss
Numbisa
Neybright
Le Lyon
Transcend
Stable woman
Lara 1
Itakuwa Breaking news kabisa hiiBasi ngoja niongee na mzaramo wangu akukatie japo kanusu eka udumishe mila kimjinimjini....
Hutaki tuonane mwanangu!?Vipi tena mzee baba?
Muda mrefu sana hadi nimesahau kama nilishawahi kukuona babu. Mwezi wa kwenda kwa mababu umekaribia hope tutaonana tenaMi nakuogopa maana mara ya mwisho tumekaa pamoja ulitaka kuniua kwa bia na nyama choma kwa Mromboo pale. Unafikiri nimesahau?
Ooh kumbe? Nlikuwa sijasoma heading ya thread... hakyamama hii konyagi ntatalikiana nayo very soon...Hutaki tuonane mwanangu!?
Nimeshamwaga oil kwenye li-Stout langu. Hivi sasa natafuta za kubadilisha matairi ...Muda mrefu sana hadi nimesahau kama nilishawahi kukuona babu. Mwezi wa kwenda kwa mababu umekaribia hope tutaonana tena
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Basi ngoja kwanza mabinti zetu waende shule... usije ukawa mkwe wetu bila shuruti.
OK ila sehemu flan umemtaja kapeace huyo ni usingizi wangu babu,yani ka wewe kwa sky eclatOoh kumbe? Nlikuwa sijasoma heading ya thread... hakyamama hii konyagi ntatalikiana nayo very soon...
Tutafutane bar kiongozi.
Hahahahaha usisahau faya eksitinguisha na triengo. Trip hii korodani za mbuzi zitachomwa sio kuchemshwa [emoji13]Nimeshamwaga oil kwenye li-Stout langu. Hivi sasa natafuta za kubadilisha matairi ...
Ile miwani yakuongeza lenseOoh kumbe? Nlikuwa sijasoma heading ya thread... hakyamama hii konyagi ntatalikiana nayo very soon...
Tutafutane bar kiongozi.
Babu mbio za vijana utaziweza au ndio yale yakula kwa machoKumbe kapeace ndo ubavu wako??? Utakuwa unafaidi sana walah. Tubadilishane siku moja.
Kwa macho tu... chumvi ishavunjavunja nguvu zoteBabu mbio za vijana utaziweza au ndio yale yakula kwa macho
Kwakweli... hamna namna tena.Ile miwani yakuongeza lense
Hahahahaha... kwa hapo nakuaminia. Afu kwa usawa huu wa anko Magu, Ndovu zitatusamehe... mahaba yote kwa balimi.Hahahahaha usisahau faya eksitinguisha na triengo. Trip hii korodani za mbuzi zitachomwa sio kuchemshwa [emoji13]
Hahahahaha na nyama ya mbuzi basi babu jitoe kwenye msafaraKwa macho tu... chumvi ishavunjavunja nguvu zote