Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Karibu sana uswazi kwa Mtogole kwa Sky Eclat

Au kama vipi uje shambani kwetu huku Bunju B tusaidiane kulima matikiti maji na matango.
Hapo kwenye jembe ndio ulevi wangu.
Ila sasa huku mjini pamenidumaza kweli kweli
 
Hubby tutachinja like jogoo la mbegu au utanunua kuku kwaajili ya mgeni?
Hapana, ntachinja lile beberu linalowapiga wenzake wakitaka kupanda.

Nadhani mgeni wetu utamkarangazia maini na kumchemshia utumbo.... ila chondechonde asije akanogewa akahamia mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…