Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Tukipanga safari lazima aandae KongoroMimi hapana bhana nasikia huko hakuna Kongoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukipanga safari lazima aandae KongoroMimi hapana bhana nasikia huko hakuna Kongoro
Ntampeleka kibabubabuBabu mbio za vijana utaziweza au ndio yale yakula kwa macho
We nenda utakiona[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unanitamanisha aiseee
Labda umshawishiTukipanga safari lazima aandae Kongoro
Aaaaaagggghhhhhrrr.Naona unaulizia mapupu sana naskia yamepigwa marufuku na JPM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani ukisalimiana na mtu utadhani kakupiga...
Nakusubiri[emoji13] [emoji13] ngoja niwahi [emoji125] [emoji125]
Huyo ndio atanipa usafiri ujueKabla hujaenda agana na Kaka yangu Mshana Jr kwanza
Avumilie asizimie maana akizimia itakuwa tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23] please sergio unataka cuzoo wangu azimie
Mbona nilishakuja?Nakusubiri
We cheka tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa jiandae kupanda ungoHuyo ndio atanipa usafiri ujue
Haaaaa hapo ataharibu kabisaaaAvumilie asizimie maana akizimia itakuwa tabu sana
Uyo hayumbishwiAaaaaagggghhhhhrrr.
Akitaka kujua hasira za mlevi amwage pombe yake
Nitaanzaje kuacha sasa!!We cheka tuu
Haha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba usifanane nao mi staki walah
Uwiiiiii mi stakiiiiHaha [emoji23]
Kwa wale waajiriwa wa serikali wananielewa mnoo!!!!
Ila nahofia kuangukia bara bara ujue watu sio poa kabisa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaaaa jiandae kupanda ungo
Na wale wa kule hawajaribiwi ngoja ukaanguke stendi[emoji23][emoji23][emoji23]Ila nahofia kuangukia bara bara ujue watu sio poa kabisa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]