Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Nayapenda yana supu nzitooo[emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1509004689753.png

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Aiseeee nikianza kuwataja hapa nitajaza server ya jf[emoji4][emoji4][emoji4].
Ile team yangu kwanza wote natamani kuwaona japo wengine nishawaona.
My one and only Nyagei[emoji7] love you soo much Hubby[emoji131]
Sergio
Emmyta
Shunie
Sakayo
My Grandpa Asprin
BAK
Numbisa
Carba
Mwifwa
Dj Sepetu
Mzee mwenzangu Espy
Ni wengi mnooooo acha niishie hapo kwa muda
Tuombe uzima
 
Back
Top Bottom