Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Comment kibao alafu hata mmoja anayetaman kukuona.
My friend hauna mchango humu.
Kaza.
My friend hauna mchango humu.
Kaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh swetiiiie siwezi kukugonganishaKunigonganisha
Sijui umetaka nn sijakupa honeyMh swetiiiie siwezi kukugonganisha
Hayo ndo maneno saasa...lini tufanye[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa kwa namna hiyo si bora tukutane kwa msajili wa ndoa kabisa...
Leo umesahau kabisa kwamba bado niko hai?Hivi hatujaonana eeeh!!!
Girl....?? Its me you are looking for??Aiseeee nikianza kuwataja hapa nitajaza server ya jf[emoji4][emoji4][emoji4].
Ile team yangu kwanza wote natamani kuwaona japo wengine nishawaona.
My one and only Nyagei[emoji7] love you soo much Hubby[emoji131]
Sergio
Emmyta
Shunie
Sakayo
My Grandpa Asprin
BAK
Numbisa
Carba
Mwifwa
Dj Sepetu
Mzee mwenzangu Espy
Ni wengi mnooooo acha niishie hapo kwa muda
Sasa kama nlilala na nyagi kichwani ntakumbukaje? Next time ntakuja asubuhi. Kazi ntamwachia Magufuli.Hivi unataka tuonane mara ngapi mchepuko wangu jamanii!!!! Si Umelala kwangu wewe au
Nipo asee... tatizo haya matikiti yamekosa soko.Sasa Babu nitakuja naye.
Ila umeadimika aisee. Mzima?
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]Aiseeee nikianza kuwataja hapa nitajaza server ya jf[emoji4][emoji4][emoji4].
Ile team yangu kwanza wote natamani kuwaona japo wengine nishawaona.
My one and only Nyagei[emoji7] love you soo much Hubby[emoji131]
Sergio
Emmyta
Shunie
Sakayo
My Grandpa Asprin
BAK
Numbisa
Carba
Mwifwa
Dj Sepetu
Mzee mwenzangu Espy
Ni wengi mnooooo acha niishie hapo kwa muda
Pole sana. Kwa usawa huu usiache kulima aisee.Nipo asee... tatizo haya matikiti yamekosa soko.
Ntaacha kulima sasa....
Najua uko hai but busy!!!Leo umesahau kabisa kwamba bado niko hai?
Sawa kabisaSasa kama nlilala na nyagi kichwani ntakumbukaje? Next time ntakuja asubuhi. Kazi ntamwachia Magufuli.
Warned for what grandpa???
Hahaha yani kwa lugha nyingine nahitaji kitukuu haraka sanaWarned for what grandpa???
Babu tulizana tu tutakuletea mjukuu umpe jina
Shaka ondoa kitukuu umepataHahaha yani kwa lugha nyingine nahitaji kitukuu haraka sana