Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

mbona ninao kibao kwenye makundi ya whatsapp huku
 
Hahaahaa hongera mwenzangu"!kwa kugutuka mie nilimpa double chance....hahaha nahis mkeka wake utakua umechanika lol
Hahaha mkeka wake uko nyang'anyang'a kwa kuchanika! Ulimpa upendeleo wa bure. By the way, asante kwa hongera...
 
Natamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
Shukran
 
Kunao hawa...1. MissChagga nadhani atakua one funny lady
2. Kuna heaven sent ako na wisdom namna flani
3. Khantwe
4. Ukhuty
5. Heaven on earth, ive been on and off in jf lakini ako na ladha ile ile...LOL!!
6. Deception 🙂
Asee Wapo wengi
Tutakutana IPO siku usijal
 
Kapeace Hayo mashartti mbona magumu hivo, njoo jengo la PPF TOWER ukifika ground floor nijulishe nije kukupokea bae wa Kanyunyu.
 
charty nilikwambia kwamba sergio 5 angenidhulumu iwapo Manchester United wakishinda. Yako wapi sasa? Amejipiga "ban" hataki kutembelea jukwaa kwa aibu...
 
Padre Mcharo ningependa nione angalau sura yake huwa matukio na mada tata ningependa sana kumuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…