Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sijui kama unajua ujue naweza kuja kukukimbia kabisa maana ninayemuhisi hapa siye mwenyewe nitakayekutana naye [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
He he we hisi hivyo hivyo na shunie wako uliyemuumba
 
Aisee Mimi naweza weka makundi matatu
1.ninao wakubali kihisi Kali sio za nchi hii natamani hadi kuwatafuna wabichi ni
Kapeace
Joanah
Demiss

2.marafiki Wa kina
Sergio
Jose
Beira
Mwifwa
Behaviorist

3.ninao appreciate michango yao
Mshana Jr
BAK
Kikulachochako
The Bold
Pasco
Sakayo

Wengine miss natafuta mbitiyaza shunie emmyta carba youngblood linamo
Wapo wengi sana.....
 
Also cocochaneli
[emoji23] [emoji23]
 
Natamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
Inaezekana umeshakutana nao ila hujui tuu maana katika kila watu 5 wenye smart nahisi hakosekani hata 1 ambae hayupo jf
 
Aisee Mimi naweza weka makundi matatu
1.ninao wakubali kihisi Kali sio za nchi hii natamani hadi kuwatafuna wabichi ni
Kapeace
Joanah
Demiss

2.marafiki Wa kina
Sergio
Jose
Beira
Mwifwa
Behaviorist

3.ninao appreciate michango yao
Mshana Jr
BAK
Kikulachochako
The Bold
Pasco
Sakayo

Wengine miss natafuta mbitiyaza shunie emmyta carba youngblood linamo
Wapo wengi sana.....
Unatamani kunipanda hahahahahaha Leo ntakujia ndotoni usisinzie sasa
 
Members wajf ya zamani kina ,ngabu, BAK, bujibuji, king'ast, mamdem ,kiranga,donlucchese etc siku izi utoto mwingi sana ila ndo maendeleo ya technolojia
 
Back
Top Bottom