Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Baby mimi na wewe kuonana ni a must!
Ila usije kunitafuna naogopa😛
Aisee Mimi naweza weka makundi matatu
1.ninao wakubali kihisi Kali sio za nchi hii natamani hadi kuwatafuna wabichi ni
Kapeace
Joanah
Demiss

2.marafiki Wa kina
Sergio
Jose
Beira
Mwifwa
Behaviorist

3.ninao appreciate michango yao
Mshana Jr
BAK
Kikulachochako
The Bold
Pasco
Sakayo

Wengine miss natafuta mbitiyaza shunie emmyta carba youngblood linamo
Wapo wengi sana.....
 
Natamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
Waooo, karibu sana. Sema tu uko wapi mie nikufate,. hahahahhaha
 
Back
Top Bottom