Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Asante nelly...Usijali, Mungu akijaalia tutaonanadj sepetu,sky eclat,miss natafuta,joseverest,
joanah,kapeace,mshana jr, n.k
ntakuja kuendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nelly...Usijali, Mungu akijaalia tutaonanadj sepetu,sky eclat,miss natafuta,joseverest,
joanah,kapeace,mshana jr, n.k
ntakuja kuendelea
Aisee Mimi naweza weka makundi matatu
1.ninao wakubali kihisi Kali sio za nchi hii natamani hadi kuwatafuna wabichi ni
Kapeace
Joanah
Demiss
2.marafiki Wa kina
Sergio
Jose
Beira
Mwifwa
Behaviorist
3.ninao appreciate michango yao
Mshana Jr
BAK
Kikulachochako
The Bold
Pasco
Sakayo
Wengine miss natafuta mbitiyaza shunie emmyta carba youngblood linamo
Wapo wengi sana.....
[emoji23] [emoji23] dua la kuku hiliTeh teh..Tena ngoja niandae na Camera nibaki na kumbukumbu..Najua mtaishia kupigana tu
Tena utulie kweli kweli.Nitagharamia Usafiri,vinywaji na Chakula
Hahahahaaaa!! Jamani mbona hivyo!Naniliuu yako!!!!!! Mfyuuu
Kumbe ndicho unachoombea!! Halitokei ng'oo!!!!Teh teh..Tena ngoja niandae na Camera nibaki na kumbukumbu..Najua mtaishia kupigana tu
Halitupati kamwe.[emoji23] [emoji23] dua la kuku hili
Asante ila mimi uliniudhi ulipoleta uzi wa kumuharibia rafiki yako kwa jamaa yakeMimi natamani saana nikutane na huyu kaka anajiita Nokia83,nanyi tiririkine tuone..
Mm ni wa kwanza natamani sana nionane na weweUkitajwa unatutumia walau kapicha tukuone
Mimi napenda nikutane na member yoyote anaenikubali
[emoji23] [emoji23] dua la kuku hili
Na sehemu ya kulala Mkitaka ntagharamiaTena utulie kweli kweli.
Nakumind sana ujue??..Hahahahaaaa!! Jamani mbona hivyo!
Waooo, karibu sana. Sema tu uko wapi mie nikufate,. hahahahhahaNatamani nikutane na wengi mno Joseverest,DJ,Mwifa,Nahuja,Emmyta,shunie,Linamo,Ukuthy,Bonny,Sky,Kichwa kichafu,Young blood,Carba,Eric Otieno na kuna mmoja special baby mama naomba nisikutaje unajijua
Teh teh ..Mlivyo kuwa na midomo kama chuchunge hamuwezi kukaa mkaelewana..Kumbe ndicho unachoombea!! Halitokei ng'oo!!!!
Halitupati kamwe.
TutakushangazaTeh teh ..Mlivyo kuwa na midomo kama chuchunge hamuwezi kukaa mkaelewana..
Asante kijani, Mungu ni mwema one day yesMm ni wa kwanza natamani sana nionane na wewe
Siku ukitaka kwenda ukuje nikupe mbinu shareholderBaby mimi na wewe kuonana ni a must!
Ila usije kunitafuna naogopa😛