Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Watu wa jf wengi akili zao zinafanana. kwa mm naona ni vigumu kusema ni nani aliye mchangiaji bora.
 
Hahhahaha @sergio5 hawezi kukudhulumu ila nipe niwashikie ikiwezekana igawanishe Mara mbil ubet zote kwa mhindi hahahh
Hahaha nihakikishie usalama wangu nimetishiwa kurogwa ujue. Mimi niko tayari kutoa hicho kiasi ukae nacho na za mhindi pia utunze
 
Hahaha nihakikishie usalama wangu nimetishiwa kurogwa ujue. Mimi niko tayari kutoa hicho kiasi ukae nacho na za mhindi pia utunze
Hahahah hawezi kukuroga bana namfahamu huyu ndugu Yangu.. we leta zote tu nikutunzia mie ni zaidi ya bank[emoji5]
 
Back
Top Bottom