Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Nyani Mzee Snr

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2021
Posts
12,122
Reaction score
42,743
Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma..

Mie ni mpenzi wa sedan ila huku mikoani ambapo nahamia kubaya sana kila siku kuna uwezekano wa kung'oa au bumper au kupasua sump.. uzoefu wenu wa kifundi na yale mambo yetu.. Kuhusu TRA na Bei ni kufumba macho, unakula kutokana na kamba yako tu...
Specification za gari;
  • Engine capacity 5.0L
  • Cylinder V8
  • Power 370bhp
  • Torque 510Nm
  • Tank capacity 86.3 litres
  • Aspiration Normal
  • Weight 2583kg

  • BK463681_cff8e4_edit_319502069741.jpg
    BK463681_79159e_edit_329108135886.jpg
    BK463681_8fe946_edit_310422494222.jpg

Copy: -
JituMirabaMinne
RRONDO
Offshore Seamen
Bavaria
wa kupuliza
black sniper
mtongwe
Boeing 747
Bila kuwasahau watu wa Tokyo Extrovert na Karma
 
Kiukweli. Chuma ni kali ila huyu na ndugu yake RR wanashea Vitu vingi including hiyo engine na gearbox.

Best thing about hizi gari ni very Luxury. Lakini pia unaweza kuadjust height kulingana na mazingira ambayo wewe unalitumia gari lako. Ukiwa lami unaishusha ukiwa off road unaipandisha.

Hiyo ndio raha pekee ya Air suspension plus comfortability.

Kwa matumizi ya Off road, engine hiyo ya Jaguar ni stronger na haijalalamikiwa kama zilivyo engine BMW kwenye RR kwenye masuala ya VANOS na Oil issues. Simply engine za Jaguar ni reliable.

Ila huko Off road ujipange kutenga bajeti ya Air suspension.

Leo nimekutana na Prado TZ TRJ120 kumbe nazo zinakuja na Air suspension sema jamaa alishang'oa akarudi kwenye coil spring.
 
Umenifurahisha hapo uliposema watu wa Tokyo[emoji23]. Ngoja waje wakupe Toyota gani ni mbadala wa Disc 4. Sijui magari ila kupeleka hilo dubwana mkoani siamini kama utafurahia maamuzi yako. Kuna sababu kwa nini ukienda migodini uko vijana wana pesa chafu ila wanabadilisha V8 za Toyota tu
 
Uzuri Mimi nina experience na hii kitu na nilishatoa experience yangu hapa jukwaani,nilishatumia hizo air suspension kwny disco 2 na zilikua nyuma tu mbele hakuna.They were fuckin' unreliable.Sijui hizo disco 4 labda Kuna unafuu.
Kwa nini kwenye magari madogo air suspension zinasumbua ,? Kwenye heavy trucks air suspensions are super reliable .
 
Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma...
Mkuu hii mashine we vuta tu haina kipengele😅 kabisa naona HP zipo za kutosha sana! Maswala ya spea dunia kijiji tutaagiza tu jiandae na hela ya break-down tu ukiwa huko katavi ndani ndani.

Kuhusu wese umeme mwingi haili sana.
 
Back
Top Bottom