Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Sasa audi ndio ya kwenda nayo kuishi huko kisulu?! Embu kuwa serious basiAtleast ungekuwa hata na options 5 za SUVs unazotaka kununua.
Land Rover zina reliability issues, kuishi nayo mkoa itakukwaza sana. Ingekuwa unakaa nayo mjini hapa sawa.
Atleast weka options nyingine kama 4 uanze research upya.
Ingekuwa mimi ni wewe, discovery nisingeiweka kwenye options zangu.
Hujawahi kuwaza 2017Audi SQ7, ni 4l diesel, inakupa 429hp na 664lbft torque.