Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

9.8ms squared mimi nakuongezea Chaguo moja la SUV halafu kodi zake zimepoa sana kuliko hata hiyo Disco 4.

Jeep Grand Cherokee WK2 Tafuta Laredo au Overland achana na Limited. Kama mfuko umetuna zaidi tafuta SRT-8...

BK696837_cb4fb2.jpeg

Overland

BK588825_8ad62e.jpg


SRT8 WK
 
Hahahaha basi mzee mimi ngoja niisubirie hio Disco 5.0L tusije kukimbiana tuu kama ule uzi wa kununua SUV ya kwanza na kutolala...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie sikimbii toka mwaka jana, nilikuwa ndoto yangu na nilikuwa naisema.. so sina sababu ya kufanyia mtu fake.. wewe heter sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi ukichukua gari kenya ushuru wake unakuwaje? Mfano ukinunua used ya Kenya?
Kenya wana standard zao za kibepari , nafikiri wananunua gari used zisizopungua miaka 7 toka kutengenezwa .
Sidhani kama kutakuwa naunafuu wowote ukinunua gari kenya , maana gari zao zinanunuliwa zikiwa na thamani kubwa.
 
Tuchukulie mfano nachukua Audi ya 2017 kwa 120M toka UK, nikienda S.A nitachukua kwa arround kiasi gani?
Audi ipi Mkuu hata hivyo SA gari ikishatumika na ikipita miaka kama mitano hivi haiwezi kuwa bei hiyo sijui iwe gari gani SA ndio nchi ambayo wanazingatia sana miaka kwenye kupungua bei ya magari...gari nyingi za 2015 mpaka 2017 bei zake sio kubwa kama 2020 kuja 2022...
 
Kaka enginia.....hii chombo itakufaa sana kwa kututunishia hapa mjini kuliko huko kwenye hayo mamiradi yenu......ukizingatia umbali na miji mikubwa utakayoweza kupata huduma za kiufundi itakuongezea gharama

Vuta chuma ina raha sana hiyo machine na ina cockpit ya kibabe sana,ila ushauri iweke kwa ajili ya kuvulia samaki ktk haya majiji yetu,ikifika safari za shamba unahamia yokohama
 
Haya magari ya kisasa unauliza nini Mkuu kama mkwanja upo ni kuvuta tuu tuwe kama Wamalawi au Wazambia maana unaweza ukawa unajishauri mwaka mzima mpaka gari ukiipata hamasa ishapungua gari nzuri hizo sijui Discovery 4,Audi,Range Rover,Ford Ranger (raptor) cayyene au huyu VW golf series 7 mpaka 8 hapo sijui tuulizane nini zaidi ya kuvuta mashine tuu..
 
Back
Top Bottom