Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

kamba zao ndefu hao 😂😂 yule mshikaji wangu alikuwa na ile VW mwana wake alikuwa na GLE 350d kaiuza majuzi jamaa 86 million so kisu kikali hicho
Kidude kama hiki nshakutana nacho Mikocheni 😅
938441BA-0740-4913-9BB0-9BEA8AE2E7D9.jpeg
nikaona kweli ambaye sina mawe ni mimi tu
 
Hv kuna tofauti ya range rover na land rover?

Hivi kuna Tofauti kati ya Toyota Na Crown? Sijui swali lako linafania na hili?

Kwa kifupi kila Range Rover ni Land Rover ila siyo kila Land Rover ni Range Rover.

Ndani ya Land Rover kuna magari kama Range Rover, Discovery, Freelander, Discovery,....

Ndani ya Range Rover kuna magari kama RR yenyewe, RR Evoque, RR Sport na RR Velah.
 
Hv kuna tofauti ya range rover na land rover?

Landrover ni kampuni inayounda Rangerover, ila sasa kwa swali lako jibu linaweza pia likawa ndio kwa maana kuna muundo wa gari uliopewa jina Rangerover (ina series zake), then kuna muundo uliopewa jina Landrover (una series zake)...

Google picha utaona walau utofauti wa nje
 
Back
Top Bottom