Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
- Thread starter
- #101
kuangukiwa na kitu kizito kupo pale paleπ π π π π π kipigo kiko pale pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuangukiwa na kitu kizito kupo pale paleπ π π π π π kipigo kiko pale pale
Hahaahahha ukichimama nchale,,,ukikaa nchalekuangukiwa na kitu kizito kupo pale pale
Bei ya kununuaUnafuu wa kwa madiba ni kodi au bei ya kuinunua?
Hahahaha basi mzee mimi ngoja niisubirie hio Disco 5.0L tusije kukimbiana tuu kama ule uzi wa kununua SUV ya kwanza na kutolala...ππππ
Kitu HEMI bana,si mchezo ππ9.8ms squared mimi nakuongezea Chaguo moja la SUV halafu kodi zake zimepoa sana kuliko hata hiyo Disco 4.
Jeep Grand Cherokee WK2 Tafuta Laredo au Overland achana na Limited. Kama mfuko umetuna zaidi tafuta SRT-8...
View attachment 2103009
Overland
View attachment 2103011
SRT8 WK
Kitu HEMI bana,si mchezo ππ
Hahah inatumia umeme mwingi,itakula wese kidogooo tu mkuu πππHahahah hapo hata akibeba la diesel poa tu.
Ila hakuna SRT-8 ya diesel, Hizo Cc6200π€£π€£π€£
Hahah inatumia umeme mwingi,itakula wese kidogooo tu mkuu πππ
mkuu acha kwanza nioshe macho hapa.. samaki samaki kuna wadada wameumbwaaa cheeeee..9.8ms squared mimi nakuongezea Chaguo moja la SUV halafu kodi zake zimepoa sana kuliko hata hiyo Disco 4.
Jeep Grand Cherokee WK2 Tafuta Laredo au Overland achana na Limited. Kama mfuko umetuna zaidi tafuta SRT-8...
View attachment 2103009
Overland
View attachment 2103011
SRT8 WK
Mie sikimbii toka mwaka jana, nilikuwa ndoto yangu na nilikuwa naisema.. so sina sababu ya kufanyia mtu fake.. wewe heter sana πππHahahaha basi mzee mimi ngoja niisubirie hio Disco 5.0L tusije kukimbiana tuu kama ule uzi wa kununua SUV ya kwanza na kutolala...ππππ
Kenya wana standard zao za kibepari , nafikiri wananunua gari used zisizopungua miaka 7 toka kutengenezwa .Hivi ukichukua gari kenya ushuru wake unakuwaje? Mfano ukinunua used ya Kenya?
Hahah nilikua nafanya sacrasm.Hahah hizo engine zinabugia ila zina mwendo mmoja wa hatari.
Hahah wapulize hao mzee baba ππmkuu acha kwanza nioshe macho hapa.. samaki samaki kuna wadada wameumbwaaa cheeeee..
c. c wa kupuliza
Sasa tunaweza zungumza lugha moja ππππ.. ndugu mmmh! pale huwa nikifika nachoka kabisa.. kila ukiangalia malkiaHahah wapulize hao mzee baba ππ
Tuchukulie mfano nachukua Audi ya 2017 kwa 120M toka UK, nikienda S.A nitachukua kwa arround kiasi gani?Bei ya kununua
Audi ipi Mkuu hata hivyo SA gari ikishatumika na ikipita miaka kama mitano hivi haiwezi kuwa bei hiyo sijui iwe gari gani SA ndio nchi ambayo wanazingatia sana miaka kwenye kupungua bei ya magari...gari nyingi za 2015 mpaka 2017 bei zake sio kubwa kama 2020 kuja 2022...Tuchukulie mfano nachukua Audi ya 2017 kwa 120M toka UK, nikienda S.A nitachukua kwa arround kiasi gani?