Mchango ununuzi Gari la Lissu umefika kiasi gani?

Mchango ununuzi Gari la Lissu umefika kiasi gani?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango.

2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
 
Hii inabadilisha vipi Maisha ya Watanzania wenye shida sana? Kwa akili kama hizi then tutarajie hata kuwafikia wakenye robo? Kutwa nzima ni maada za kijinga tupu. Ujinga umejaa sana wabongo.
Jibu swali
 
Hii inabadilisha vipi Maisha ya Watanzania wenye shida sana? Kwa akili kama hizi then tutarajie hata kuwafikia wakenye robo? Kutwa nzima ni maada za kijinga tupu. Ujinga umejaa sana wabongo.
Ni chuki binafsi kwa watu. Mtu hafanyi kazi muda wote akiombea wengine wasipate.
 
Hiyo ilikuwa ni zoezi la kukusanya takwimu za kukubalika kwa Lissu, majibu kayapata. Alianza na maandamano, wapi, watanzania wameshaambiwa kazi ziendelee wana muda wa kuzurura waache maduka, mashamba, kazi za viwanda na maofisini?
 
Cha muhimu huo mchango asile Mbowe peke yake. Kilichopatikana agawane na Lissu. Ampe Lissu hata 15% ya hela. Kula michango yote peke yake sio demokrasia.
 
1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je umefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti.

2. Utafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM
Kwani hata ikiwa ni ya M/kiti inakuuma nini na hukuchangaaaa
Ndoa ya CHADEMA inakuhususu nini.

Kaaa kwa kutuliaaa ,
 
Back
Top Bottom