kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Mbona wengii tuu ,Mwenyekiti wa milele
Wapo Lipumba,wa DP yupo Cheyo
Mbona huwasemi haoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wengii tuu ,Mwenyekiti wa milele
Umechangia ngapi? tujibu kwanza, acha ushetani1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango.
2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
Siasa ni fursa 😂!
Jina account huijui? Pia kuhusu kiasi nadhani ni bora umtafute yeye mwenyewe umuulize japo sidhani kama linakuhusu hilo. Chawa wa Ccm akili fupi sana1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango.
2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
Hahaha kumbe mada ni uenyekiti wa Mbowe ila umwejificha kwa mchango wa Mh Lisssu! Chawa wa hovyo sanaMwenyekiti wa milele