Mchango wa CHADEMA: Mawaziri Prof Kitila, Silinde, Dr Mollel, Waitara, Katambi na Gekul yule Shonza amefeli!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli Chadema wana mchango wa kutosha katika serikali yetu na hasa katika level ya uwaziri.

Mawaziri wafuatao wamewahi kutumika pale Ufipa katika level tofauti za uongozi kwa nyakati tofauti tofauti.

1. Prof Kitila Mkumbo

2. Mh Pauline Gekui

3. Mh Patrobas Katambi

4. Dr Godwin Mollel

5. Mh Mwita Waitara

6 Mh David Silinde

Ni vema vijana wa CCM mnapoibeza Chadema msisahau huu mchango wao mkubwa kwenye utumishi wa Umma.

Nasisitiza; Maendeleo hayana vyama!
 
Katika baraza la mawaziri lililotangazwa leo , wahamiaji kutoka upinzani wameula huku wafia chama kindakindaki Wakiendelea Kusugua benchi . Waliokuwa wapinzani na wamepata uteuzi ni Mwita Waitara , Pauline Gekul , David Silinde , Protobas Katambi huku wafia chama kina Pascal Njaa , Johnthebabtist , Etwege ,Mama D , Kawe Alumni licha ya kukesha mtandaoni lakini wanaendelea kusugua benchi sijui mpaka lini?
 
Samtaimz usaliti 'unalipa'!
 
Huyo Pascal ni kichefuchefu tu,anaongea sana mpaka mate yanakauka ila bila bila
 
Eti pascall njaa dah !![emoji16][emoji16]
 

Pascal Njaa labda atakumbukwa katika nafasi za Wakuu wa Wilaya au Mtendaji wa Kata.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chadema ni kama Adrenal,
Mbowe ni kama Wenge anatengeneza vipaji vinavtoilazimu sisem kukomba account yao bank kuvinunua.
Sasa hivi wamekabwa koo na wanawake wa shoka hawajui wameze au watapike.
Ila kwa hii covid19 wameingia kwenye18 ya Chadema.
 
Hahahaaaa....... Endelea kukariri bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…