Mchango wa CHADEMA: Mawaziri Prof Kitila, Silinde, Dr Mollel, Waitara, Katambi na Gekul yule Shonza amefeli!

Anyway PASCHAL MAYALLA bado ana nafasi ya kuteuliwa nafasi ya Uenezi pale chamani[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mwita Waitara na Godwin Mollel walihama CCM kwenda ChADEMA kisha wakarejea kwao hawezi kuwa zao la CHADEMA
 
Naona vipenyo watupu
 
Hao huwa wanapata posho ya buku Saba,polepole akiamka vizuri anawapa hata teni!
 
Real is Real.

Dr. Chamuriho na Dr. Gwajima utendaji wao umewabeba. Leo hii wamebeba uwaziri kirahisi tuu.

Nyie mnapambana kutumia nguvu kumpamba mkuu ili mpate uteuzi kama akina Kigwa pambaneni na hali zenu.
Analia huko Twitter kama alizaliwa na waziri. Kuroga ni janga kubwa. Muulizieni Mshana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€
 
Mwita Waitara na Godwin Mollel walihama CCM kwenda ChADEMA kisha wakarejea kwao hawezi kuwa zao la CHADEMA
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, Waitara alikuwa Chadema tangu akiwa UDSM kabla ya kuhamia CCM kipindi cha JK na baadae akarudi Chadema kisha CCM tena, hivyo akiitwa 'zao' la Chadema nadhani bado ni sahihi.
 
Mkuu, hivi walipokuwa wanatangaza majina ya walioteuliwa walikuwa wanatangaza na ID zao za hapa JF ๐Ÿค”
 
Chadema nayo iliwachukua hao watu kutoka NCCR Mageuzi mfano Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ