Mchango wa CHADEMA: Mawaziri Prof Kitila, Silinde, Dr Mollel, Waitara, Katambi na Gekul yule Shonza amefeli!

Sisi tumeridhika kuwa wapiga debe au siyo bwasheh acha tuendele kuwa wapiga debe tuπŸ˜‚

Ova
Hahahaaaa....... Mgawanyo wa shughuli bwashee.

Wote hatuwezi kuwa mawaziri ndio maana tunatest mitambo mipya akina Gekui, Katambi na Silinde!
 
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, Waitara alikuwa Chadema tangu akiwa UDSM kabla ya kuhamia CCM kipindi cha JK na baadae akarudi Chadema kisha CCM tena, hivyo akiitwa 'zao' la Chadema nadhani bado ni sahihi.
Waitara alikuwa mpishi wa Nchimbi pale UVCCM!
 
Pamoja na kupewa uwaziri lakini hakika silinde hana amani kwa moyo wake hata kidogo
 
Cdm Ni chama chenye watu makini Sana. Mh rais kadhibitisha Hilo kwa hizi teuzi. Hongera mbowe, hongera cdm.
 
Bado wengine siku zijazo kina mdee matiko maana mnashindwa watumia vizuri muuende serikali yenu
 
Pascal mayala anaendelea kukomaa akitumia kale kamsemo kanakosema "MTAFUTAJI HACHOKI" πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Watasugua bench hadi makalio yaote sugu kudadadeq
 
Pongezi kwa wote walioteuliwa. Nafikiri ile dhana ya kuwatia moyo wanaofanya jambo la kishujaa imetumika.

Hakika ukimaliza kazi kinachobaki ni kuvishwa taji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…