Asante mkuu nimekupata.
Changes ni wewe na mimi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu nimekupata.
thats some kind of shiit...
AsanteChanges ni wewe na mimi...
safi sana mkuu..toa mrejesho sasa..
faida no moja
kukonyezwa na wazungu daily....hata kama hudate mzungu 100 % ile tu kutamaniwa na wazungu nayo ni chati eti sio hao wadada wa bongo ...akigeuga huku ...mwendesha boda boda...akienda mbele konda wa daladala....siku kaamka vizuuri ndo muuza mitumba mwenge
wenzake full kukonyezwa na binamu zake bush na majirani zake watu wenye dollar zao za kutosha mfukoni
Kuna dada mmoja tulikuwa tunaishi naye changanyikeni kaolewa na muhindi ujerumani na kazaa naye . Hadi aibuwifi haujasema pia wanaolewa na wazungu. wanapunguza competition ya wanaume blacks wazuriii hehehe
Ha ha ha ha
Kuna dada mmoja tulikuwa tunaishi naye changanyikeni kaolewa na muhindi ujerumani na kazaa naye . Hadi aibu
Hata bongo mbona kuna vizee ,tena vizee vya bongo balaa vinazalisha wajukuu zao mapacha atii?na vingine vina mijimeno kama ngiri wa Mikumi lakini mifuko imetuna hao wadhungu wa majuu ni kama watunza bustani kwa vibabu vya bongo,waweza kuvikuta pale kwenye kijiwe chao nyuma ya ilipokuwa jumba la sanaa,panaitwa British Legionkule maisha mteremko kwa sababu vile vizee ukivikubalia mnakula pension wote na hicho ndo kinawapa jeuri,ila hawana tija kwa taifa letu zaidi sana ni mafanikio binafsi ingawa sio wote wanaofanikiwa.
Mkuu Bufa..wewe kama mtanzania unavyoishi hapa kuna mengi unayoyafanya kwa ajili ya tanzania, na ma diaspora pia wananafasi katika kuendeleza nchi..
unawakumbuka watu kama kina dr.livingstone. akina john craft, akina bwana rebman na wengineo je, walikuja africa for there own benefit? na siyo kwa ajili ya nchi zao?
Tumetoka Mbali sana.Hao wote uliowataja walitumwa na nchi mkuu, ilikuwa ni wajibu wao kwenda Afrika kuchunguza na kutoa taarifa kwa nchi zao vile jinsi wataweza kuchuma mali Afrika na kunufaisha nchi zao. On the other hand, waTz walio nje ya nchi wengi wameenda kwa juhudi zao binafsi hivyo wanakila haki ya kufanya yao. Serikali miaka ya nyuma ilikua inapeleka watu kusoma nje nadhani hao ndio wanajukumu la aidha kurudi Tz ama kuisaida nchi hata kama bado wanaishi nje. Chukulia mfano wa mbeba box aliekopa hela kwenda nje, kafika kaungaunga hadi amekaa sawa sasa ni professional mbeba box leo umwambie anajukumu la kuisaidia Tz atakuelewa? Kusaidia ni uamuzi sio lazima