Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

faida no moja
kukonyezwa na wazungu daily....hata kama hudate mzungu 100 % ile tu kutamaniwa na wazungu nayo ni chati eti sio hao wadada wa bongo ...akigeuga huku ...mwendesha boda boda...akienda mbele konda wa daladala....siku kaamka vizuuri ndo muuza mitumba mwenge
wenzake full kukonyezwa na binamu zake bush na majirani zake watu wenye dollar zao za kutosha mfukoni

@UZUNGU ndio nini?
 
wifi haujasema pia wanaolewa na wazungu. wanapunguza competition ya wanaume blacks wazuriii hehehe
Kuna dada mmoja tulikuwa tunaishi naye changanyikeni kaolewa na muhindi ujerumani na kazaa naye . Hadi aibu
 
Kuna dada mmoja tulikuwa tunaishi naye changanyikeni kaolewa na muhindi ujerumani na kazaa naye . Hadi aibu

hahahahah sasa hapo mkuu kupe, aibu iko wapi?
 
Last edited by a moderator:
kule maisha mteremko kwa sababu vile vizee ukivikubalia mnakula pension wote na hicho ndo kinawapa jeuri,ila hawana tija kwa taifa letu zaidi sana ni mafanikio binafsi ingawa sio wote wanaofanikiwa.
Hata bongo mbona kuna vizee ,tena vizee vya bongo balaa vinazalisha wajukuu zao mapacha atii?na vingine vina mijimeno kama ngiri wa Mikumi lakini mifuko imetuna hao wadhungu wa majuu ni kama watunza bustani kwa vibabu vya bongo,waweza kuvikuta pale kwenye kijiwe chao nyuma ya ilipokuwa jumba la sanaa,panaitwa British Legion
 
Ulaya hata ukipata kazi ya kufagia ni dili tofauti na vikazi vya hapa kwetu
 
Mkuu Bufa..wewe kama mtanzania unavyoishi hapa kuna mengi unayoyafanya kwa ajili ya tanzania, na ma diaspora pia wananafasi katika kuendeleza nchi..

unawakumbuka watu kama kina dr.livingstone. akina john craft, akina bwana rebman na wengineo je, walikuja africa for there own benefit? na siyo kwa ajili ya nchi zao?

Hao wote uliowataja walitumwa na nchi mkuu, ilikuwa ni wajibu wao kwenda Afrika kuchunguza na kutoa taarifa kwa nchi zao vile jinsi wataweza kuchuma mali Afrika na kunufaisha nchi zao. On the other hand, waTz walio nje ya nchi wengi wameenda kwa juhudi zao binafsi hivyo wanakila haki ya kufanya yao. Serikali miaka ya nyuma ilikua inapeleka watu kusoma nje nadhani hao ndio wanajukumu la aidha kurudi Tz ama kuisaida nchi hata kama bado wanaishi nje. Chukulia mfano wa mbeba box aliekopa hela kwenda nje, kafika kaungaunga hadi amekaa sawa sasa ni professional mbeba box leo umwambie anajukumu la kuisaidia Tz atakuelewa? Kusaidia ni uamuzi sio lazima
 
View attachment 566354

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla akiuliza suali katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia Kongamano la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Bi. Adila Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kongamano la kitafa litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm Redio.
Picha na Makame Mshenga.
Wanabodi.

Declaration of interest. Japo mimi Paskali Mayalla sio mwana Diaspora, bali nimewahi kuishi nje kwa muda mfupi mfupi katika nchi mbalimbali, na nimewahi kufanya kazi tena sio kubeba box, bali kubeba zege ndani ya jiji la London, hivyo nina mwanga kidogo kuhusu diaspora, ila kwenye hili
Kongamano la Nne la Diaspora, litakalo fanyika Zanzibar, tarehe 23 na 24 Agosti, I have a role to play.

Hivyo hili ni bandiko la kuomba ushirikiano wenu, kwa ushiriki wako kwenye kongamano hili, physically or by proxy, ili kutoa mawazo yako Tanzania ikusaidiaje ili kukuwezesha wewe kuisaidia nchi yako.

Tanzania itajengwa na Watanzania wote wakiwemo wana diaspora. Kitu cha kwanza ni kuomba ushiriki wako physically kwa wale wenye nafasi to make it home, wajisajili kupitia
DIASPORA: Home Page
or
4TH Tanzania Diaspora Conference 2017 - Diaspora and SMEs ...

Kwa wale ambao hawatapata nafasi ya kuwepo physically, wanaweza kushiriki by proxy, kwa vile dunia sasa ni kijiji kimoja, wanaweza kushiriki by proxy.

Kwanza The Official Opening ya Kongamano lenyewe litatangazwa live za TV za Tanzania. Pili tutatangaza live kupitia video streaming kwenye youtube hivyo wana diaspora wote wenye nafasi wanaweza kufuatilia kupitia youtube, facebook, tweeter na mitandao ya kijamii.

Hapa naomba ushirikiano wako tujadiliane how to reach you out ili tupate maoni na mawazo yako, Tanzania ikusaidiaje wewe mwana Diaspora ili uweze kuisaidia nchi yako?.

Uzalendo sio kujiuliza "Tanzania Ikusaidie nini, bali ni wewe kujiuliza jee nimeisaidia nini nchi yangu Tanzania?". Kwa vile wana diaspora wengi wako nchi za nje na wamepata bahati ya kupata exposure kubwa, tunaomba mawazo yenu, Tanzania iwasaidieje ili muweze kuisaidia nchi yako Tanzania.

Natanguliza Shukrani.

Pascal Mayalla
+255 784 270403
pascomayalla@gmail.com
 
Hao wote uliowataja walitumwa na nchi mkuu, ilikuwa ni wajibu wao kwenda Afrika kuchunguza na kutoa taarifa kwa nchi zao vile jinsi wataweza kuchuma mali Afrika na kunufaisha nchi zao. On the other hand, waTz walio nje ya nchi wengi wameenda kwa juhudi zao binafsi hivyo wanakila haki ya kufanya yao. Serikali miaka ya nyuma ilikua inapeleka watu kusoma nje nadhani hao ndio wanajukumu la aidha kurudi Tz ama kuisaida nchi hata kama bado wanaishi nje. Chukulia mfano wa mbeba box aliekopa hela kwenda nje, kafika kaungaunga hadi amekaa sawa sasa ni professional mbeba box leo umwambie anajukumu la kuisaidia Tz atakuelewa? Kusaidia ni uamuzi sio lazima
Tumetoka Mbali sana.
 
Back
Top Bottom