Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Hizo ni1. Esta anasema kuna wanawake walikutwa wakikusanya kuni wakabakwa, je hilo kosa linahalalisha kubakwa?
2. Kwanini askari wachukue kijana waondoke naye halafu kijana atoweke mazima? Na kwa mujibu wa Esta walimchukua nyumbani kwake.
Hata kama mifugo yake anayochunga iliingia ndani ya hifadhi, kwanini asipelekwe mahakamani kunakopatikana haki, badala yake anapotezwa (yaani anauawa) na hao askari wa hifadhi?!!!
Uhai wa Watanzania umekosa thamani kabisa mbele ya hawa watawala wa ccm?!
sawa asanteAkili yako haipo sawasawa.
Wewe unacho kisomo cha aina yoyote, mbali ya kujuwa kuandika?
Nasikitika nimepoteza muda wangu kusoma huu uchafu ulioweka hapa.