Mchango wa mawazo kutoka kwa wadau nataka kufunga ndoa

Mchango wa mawazo kutoka kwa wadau nataka kufunga ndoa

Hongera mkuu huo ndo uanaume.
Usiwasikilize watakaokuja hapa na kukandia kabila la mkeo.
Wewe ndo unamjua zaidi.
 
jitahidi umalize tafauti zenu wenyewe na pia ukigundua kuwa wewe ndio mwenyekosa usione tabu kuomba msamaa mpende sana mkeo
 
Hongera mkuu huo ndo uanaume.
Usiwasikilize watakaokuja hapa na kukandia kabila la mkeo.
Wewe ndo unamjua zaidi.
Umesema ukweli amu kabila ni utambulisho wa mazingira na jamii anayotoka sio tabia,wenye kasumba wote wanachagua kabila badala ya mke bora.
 
Ushauri wangu, oa. Ikiwezekana hata jana. La msingi mkeo asiwe spana mkononi, asiwe mtu ambaye kupitisha wiki mbili bila kuumwa serious kwake ni ajabu. Hilo ni la msingi kuliko yote, niamini mimi
 
Back
Top Bottom