Kapetibovu
Member
- May 2, 2020
- 60
- 58
- Thread starter
- #41
Mkuu hapo kwenye wiki mbili bila kuumwa sijakuelewa.Ushauri wangu, oa. Ikiwezekana hata jana. La msingi mkeo asiwe spana mkononi, asiwe mtu ambaye kupitisha wiki mbili bila kuumwa serious kwake ni ajabu. Hilo ni la msingi kuliko yote, niamini mimi