Mchango wa mawazo kutoka kwa wadau nataka kufunga ndoa

Ushauri wangu, oa. Ikiwezekana hata jana. La msingi mkeo asiwe spana mkononi, asiwe mtu ambaye kupitisha wiki mbili bila kuumwa serious kwake ni ajabu. Hilo ni la msingi kuliko yote, niamini mimi
Mkuu hapo kwenye wiki mbili bila kuumwa sijakuelewa.
 
Ushauri wangu, oa. Ikiwezekana hata jana. La msingi mkeo asiwe spana mkononi, asiwe mtu ambaye kupitisha wiki mbili bila kuumwa serious kwake ni ajabu. Hilo ni la msingi kuliko yote, niamini mimi
Acha ubaguzi dogo, hata huyo anastahili kupendwa
 
Mkuu hii kauli yake sijailewa
"wiki mbili bila kuumwa serious kwake ni ajabu. "
Alimaanisha mkeo awe na afya nzuri asiwe mtu wa kuugua ugua ambaye hawezi kupita wiki mbili bila kuumwa nadhani Castr anakitu hapo amekipitia kwa hiyo anakupa tahadhari.
 
Mengi wadau washasema.

Me naomba kadi ya mwaliko mkuu nije kuwawakilisha wana jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…