Mchango wa mbio za Mwenge

Mchango wa mbio za Mwenge

KMMS

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
304
Reaction score
586
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania "KAZI IENDELEE"

Waungwana Hii Imekaaje? Watumishi wa Serikali Kuchangia 1000 Kwenye Mbio Za Mwenge.

Hapa KILIMANJARO Nimeona Watumishi wa Serikali Hasa Waalimu Wanalalamika.

Inakuwaje Wapitishiwe Mchango Kuuchangia Mwenge?

1. Inamaana Huo Mwenge Ili Kuzunguka Na Kumulika Tanzania Hauna Bajeti?

2. Mtumishi Ambaye Ni Mwaka Wa 6 Sasa Hana Nyongeza Ya Mashahara Bado Mnamkamua?

3. Je, Maagizo Haya Madam President Kayabariki?

Nawasilisha.
 
Kuna muandishi mmoja wa habari kule kwa wazungu alichoshwa na ile kazi, Akaona hakuna shida katikati ya matangazo alisikika I quit [emoji2096] sasa hao walimu wanao zalisha vilaza nchini kwanini nao wabakie kazini
 
Bado kodi ya uzalendo inakuja!😄😄😄
987655hy.jpg
 
Back
Top Bottom