Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

Amemzungumzia mwanaye anayesoma IFM kozi ya Banking and Finance.
Yule dogo ni kuishi na wanawake wa Kibada na kula bata na dogo amepigwa disco semister iliyopita ndio maana baba yake anaamini kila mtu ni Mal**ya kama mwanawe.
 
Hata wabunge wanalewa na kipindi cha bunge inasemekana wanaojiuza wanaelekea Dodoma. Je wapigakura wamewatuma hayo?
Kwahiyo tuseme wabunge wapunguziwe posho kwa tabia hizo?
Wana kamati yao ya kumuita na kumhoji mwananchi yeyote kumhoji kama wataona anawakashifu kuhusu mienendo yao mibaya
 
Na wao wasipewe malipo wawekewe ela ya mafta na kulipiwa misosi na maradhi maana hiyo pesa inawafanya wafanye ufuksa na wanafunzi hapo dodoma
 
Amemzungumzia mwanaye anayesoma IFM kozi ya Banking and Finance.
Yule dogo ni kuishi na wanawake wa Kibada na kula bata na dogo amepigwa disco semister iliyopita ndio maana baba yake anaamini kila mtu ni Mal**ya kama mwanawe.
Kumbe yamemfika. Ameshindwa kufikiria kama binadamu wote hawafanani
 
Mzee ni mjinga, mpumbavu tu, hana busara wala hekima niulize mimi ntakusimlia. Ukikaa naye dk 10 nyingi kuujua uelewa wake pamoja na shule yake
 
Amemzungumzia mwanaye anayesoma IFM kozi ya Banking and Finance.
Yule dogo ni kuishi na wanawake wa Kibada na kula bata na dogo amepigwa disco semister iliyopita ndio maana baba yake anaamini kila mtu ni Mal**ya kama mwanawe.
Mzee mwenyewe yuko hivi hivi yaani akili yake kisoda inaamini akimwambia mdada mi ni mbunge basi amemla umbwa yule aliniambiaga yaani wewe ni mshamba unamkataa mbunge😃😃
 
Kama huwa anakutana nao ktk viunga vya starehe kama na watu wengine wanavyokutana nao lakini hawana pa kusemea basi vijana wapewe semina kama wanavyopewa wastaafu wanapokaribia kupata mafao juu ya matumizi mazuri ya mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…