Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

Waafrika tuna ubinafsi sana. Hata hawa wanachuo wanaomlalamikia huyo mbunge wanasumbuliwa na ubinafsi kwa sababu wabunge siku zote hutoa michango ya hovyo sana lakini wanalalamikia sana hili kwa sababu limewagusa moja kwa moja. Angesema kodi iongozwe kwa wafanya biashara au wakulima hao wanachuo wasingelalamika.
 
Hahaa wewe jamaa huu wasifu upo kwenye taarifa za bunge au?
 
Unarukaruka tu kama bata bukini, boom lifutwe?
 
Huyo faza ni zaidi 60 bana age go kabisa
 
Sijui waliokua wanampigia makofi nao tuwaiteje
Hao tuwasamehe tu wengi wanakuwaga wamelala wakistuka tu usingizini anaanza kugonga meza bila kujuwa kinachoongelewa.

Huwa wanakesha kwenye pombe wanalala late night, kwahiyo muda wa bunge wanakuwa na wenge wakipigwa na Ac kidogo tu lazima walale na mashuzi juu.
 
Ebwanaeeee hapo wanaiita lugha yakuudhi
 
Walaumiwe waliompeleka bungeni
 
Huyo anayezungumziwa hapa. Kama sio akili ya kilevi huwezi kujiandaa kutoa hoja kama hiyo
kuna umuhimu wa wabunge kupimwa kama wamekunywa pombe kabla ya kuingia ukumbi wa bunge na kuanza kuchangia hoja
 
Nchi yetu ipo hapa ilipo kwasababu ya kuongozwa na watu wenye mentality za kimasikini kama hawa. Chakula, mavazi , na malazi ni basic needs ambazo kila mtu anatakiwa apate, unfortunately hawa wanaona raha wenzao kustruggle kupata kitu cha kuweka mdomoni.

Mtu amekulia kwao kuna njaa hatari, akiona mwenzie analala njaa wala si big deal kwake.

Shame on him.
 
Amefika level ya undergraduate studies huyu?
 
Kichwa cha thread kinajieleza chenyewe

Naona huko mitandaoni mijadala imekuwa mikali sana, chonde chonde wanafunzi hayo ni maoni binafsi ya mbunge labda na Wapiga kura wake ambao wengi ni wa vyama vya upinzani

Mlale Unono 🐼
 
Naunga hoja
 
Msamehe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…