Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

Sidhani aisee maana kwamaelezo yake inaonekana anadhani wanachuo wakipewa boom ndio wanalipa ada sasa anataka eti walipiwe ada mojakwamoja
Huyu ni mbunge ambaye anapaswa asipewe nafasi nyingine tena ya kuwa mwakilishi wa wananchi wa eneo lolote lile ndani ya Tanzania hii.
 
Mnahangaika na mtu anaevutia bangi chooni... Huyo jamaa ni mvuta bangi kwa wasiomfahamu ndio wanaoteseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…